fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 5,305
- 5,355
Unawasifu waislam kusoma quran kwa kiarabu ili mmasai asielewe si ndio. Au wanasikia raha ile kusoma huku wanaimba bila kujua hata kinachoongelewaHahaha unajua maana ya cult religion?
Kuwa makini kwenye internet hayo madhehebu yanapigwa vita sana hasa na RC na walokole kukuta internet yamekuwa labelled as cults ni kawaida tu
Rudi vitabuni kaka ndo upate knowledge.
Tena I didn't talk about Jehovah witnesses honestly when you use the bible as the reference only you are never going to win an argument with them
Problem LA RC doctrines ni kwamba most sio biblical if you know what I mean
Biblia ni sehemu ndogo sana kwa mkatoliki kwakuwa mna source zenu nyingi mnazoona ni bora kuliko biblia
Kwa walokole ndo nawaonea huruma sababu wengi wao hawajui wanachoamini kabisa.
Niliona unasema wasabato (SDA) hawaamini utatu mtakatifu sio kweli kaka
Misingi ya u SDA IPO 29 kaisome vizuri hili huwa wanapakaziwa as part ya propaganda.
wasabato wanaamini utatu mtakatifu na IPO katika top ten ya misingi yao so msiwapakazie uongo kutetea weakness zenu nyingi
Mashahidi wa Jehovah ndio wasioamini utatu mtakatifu na biblically kwakweli you will never find any verse kuthibitisha utatu mtakatifu kwa maana kwenye bible haupo haujawahi kuwepo
Most translations zinafanywa kimakosa makusudi Ku edit maana kuleta logic kwenye hio imani ya trinity kukushauri kasome translinear bible
Au Latin bible at least zipo close na true meaning ya verses but nivyema usome maandiko in their original language translations zina punguza maana ya maneno
Ndomana nawasifu sana waislamu na ideology yao ya kusoma Qur'an katika original language wana tunza maana halisi zilizokusudiwa tangu enzi za kale
Translations zinafaida but hasara zake ni kubwa kama kupoteza maana iliokusudiwa na mwandishi kipindi anaandika