Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Nimejifunza kitu si haba humu.Nilikuwa napita mbiombio kumbe nilikuwa nakosa vitu "vinono" mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni kweli kabisa mkuu, mtu anaandika 'husband njoo huku ujionee.....' anakula like 10.
From my point of view. You are wrong. top 3 wenye rep power wamezipataga chit chat na waliobaki wamesomba kule MMU na zinatolewa kiurafiki zaidi. ILI KUTAMBUA VILAZA angalia post areas. angalia top 5.
Mimi nadhani kupokea likes na rep power cyo u- gt au ukilaza. kwa nini? Kwa mfano Mimi sijawahi kumpa MTU yeyote likes lakini Mimi nimepewa zaidi ya 600. Siyo kwamba kwa kutotoa likes post nazosoma ndio za vilaza. hamy d kwa mfano, akianzisha Uzi anapata power reply nyingi kwa kuwa tu atakuwa anaisema vibaya chadema. Na manazi wa chadema watakuwa wakipambana nae kukanusha majungu na fitina, huku vijana was buku 7 wakimwagia likes za kutosha.
Wadau,
Ni kawaida kukuta wachangiaji wa JF wakipewa mrejesho (feedback) za POSTS, LIKEs, UNLIKES, Quotes nk. Sasa nauliza:
1. Ukikuta mtu kapost 10,000 postings, katika hizo postings ana jumla ya LIKEs 100. Ina maana gani kwa kuwa ukigawa Likes/postings unapata 0.1. Lakini ukikuta mwingine pia mwenye 10,000 postings lakini ana Likes 9600 (ratio 0.96) Jee haitakuwa kweli kumchukulia mwenye ratio ndogo (Likes 100) kama ni kilaza au for most time anajiandikia garbage?
2. Jee kama watu wawili wote wana likes recieved 9000. Kisha mmoja wao ana Likes given 10,000 (ratio 1.1) huku mwenziwe ana likes given 440 (ratio 0.05) ina maana gani? Hizi ratio haziwezi kuwa kama kiashiria kuwa mwenye ndogo (ratio 0.05) kiasili ni mchoyo na mbinafsi sana kuliko mwenziwe mwenye ratio kubwa?
Nawakilisha
Swali lingine la kizushi. Mtu ukiangalia profile yake achangia atleast an average of 15 posts in a day. Na wachangiaji wa aina hii mara nyingi posts zao ziko MMU. Hapa utaona kabisa kwamba huyu mtu ni kilaza pamoja na kuwa na likes nyingi. Hapa inaonyesha kabisa kuna watu hawafanyi kazi walizoajiriwa effectivelly bali wanashinda jamii forums. Mimi nimejiunga hapa 2008. Lakini mpaka leo nina post si zaidi ya 300. Kwa hiyo nikifanya calculation inamaana huwa naandika ana avarage of two posts in every ten days. :becky::becky::becky:. N
Mkuu, kwa kipimo tunacho-propose hapa wewe utahesabika kuwa KIASILI ni mchoyo na mbahili pia ni mgumu wa kurudisha fadhila kwa wenzako. Kimahesabu Likes Given (0)/Likes received (325) = 0 (ukarimu wako). Uzito wa posts zako kuwagusa wana JF itakuwa Likes received (325)/Posts (1344)= 0.24. Hii ikiimanisha ni asilimia 24% tuu ya posts zako zinazoonekana kama za maana na wasomaji. Kwenye ukilaza hujafikia ila Uchoyo umo(hahahahahah). Tembelea pages za GT kisha pima ukarimu. Ukiweza tupe feedback.
cc Mashaxizo, Mkuu wa chuo, mshana jr,