FourTwoNet
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 1,236
- 2,512
- Thread starter
- #81
Kwa hiyo ni maswala au ni masuala?Swala (x) Suala (✓) [emoji850]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo ni maswala au ni masuala?Swala (x) Suala (✓) [emoji850]
Mkuu, hakuna ulichokosoa hapa. Ni swala la preference. Zote sahihi.Swala❌
Suala✅
Rukhsa❌
Ruksa✅
Sawa sawa mzee.Flani❌
Fulani✅
Mtu husema 'kiswahili changu sio kizuri' au ni 'kiswahili kangu sio kizuri'?Hichi❌
Hiki✅
Wewe unatuharibia lugha yetu adhimu ya KiswahiliMtu husema 'kiswahili changu sio kizuri' au ni 'kiswahili kangu sio kizuri'?
Katengenezeni kwanza hizi R na L zenu ndio tuje kuangalia mambo ya ngeli na vitenzi.
Kwa sasa unahangaika sana mkuu.
Hujanijibu swali langu lakini?Wewe unatuharibia lugha yetu adhimu ya Kiswahili
Hakuna neno "hichi" kwenye lugha ya Kiswahili
Mzee baba haina lafudhi hapo ni kwamba kwa kifupi neno HICHI sio la Kiswahili. Acha ubishi usio na mantiki yoyoteHujanijibu swali langu lakini?
Nachojaribu kukuelewesha ni kwamba, ni swala la preference(lafudhi ukipenda).
Sawa mkuu.Mzee baba haina lafudhi hapo ni kwamba kwa kifupi neno HICHI sio la Kiswahili. Acha ubishi usio na mantiki yoyote
Kinacho takiwa kuelewa kakusudia nn kwanza hii rugha ya kiswahili maneno mengi yaliomo humo sio asili yetu sijui unacho shangaa au ni ujuaji kunifanya msomile kumbe tutusa tuVilaza tupu.
Mkuu, nini hii umeandika?Kinacho takiwa kuelewa kakusudia nn kwanza hii rugha ya kiswahili maneno mengi yaliomo humo sio asili yetu sijui unacho shangaa au ni ujuaji kunifanya msomile kumbe tutusa tu
Ameamua kuzingua moja kwa moja [emoji846]Mkuu, nini hii umeandika?