Kumbushia hata siku moja miguu haikuwashi?? ๐น๐นMbona kama unanitamanisha sasa.
Anyway nishazeeka na nina familia.
ForesterDah! unaendesha gari aina gani?
Traffic ss hivi wanawabana na wenyewe wanaona hasara kupigwa faini za kijinga.!Lakini now days IT wamekuwa watulivu sana.
Walikuwa wanakufa sana.
Naona traffic wanawabana sana
160 ๐น๐นHapana kwa kweli.
Uliwahi kuendesha kwa speed gani? unayoweza kuikumbuka.
Hivi mlikuwa mnalipwa kiasi gani??Pesa kidogo.
Na sasa hivi kazi imeingiliwa na vijana wadogo wadogo.
Njaa kali
Ahh!! Mbona pesa ndogo sana??I was doing that for fun lakini...
By 2009-2010 ilikuwa almost 150k to 200k per trip. (exclude nauli yakurudia)
Kuna kipindi hapo kati ilichanganya sana.Ahh!! Mbona pesa ndogo sana??
Mi nilijua mnakunja 1m huko ๐
No, kuna mambo mengine age factor inakubeba kuyafanya! wala sio shida.๐น๐น Nilikuwa nakuzingua usianze kunisema namna gani vipi.!!
Sema ulivyoniambia Subaru kidogo niseme nakufahamu.๐น๐น Nilikuwa nakuzingua usianze kunisema namna gani vipi.!!