Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Kumbushia hata siku moja miguu haikuwashi?? 😹😹Mbona kama unanitamanisha sasa.
Anyway nishazeeka na nina familia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbushia hata siku moja miguu haikuwashi?? 😹😹Mbona kama unanitamanisha sasa.
Anyway nishazeeka na nina familia.
ForesterDah! unaendesha gari aina gani?
Traffic ss hivi wanawabana na wenyewe wanaona hasara kupigwa faini za kijinga.!Lakini now days IT wamekuwa watulivu sana.
Walikuwa wanakufa sana.
Naona traffic wanawabana sana
160 😹😹Hapana kwa kweli.
Uliwahi kuendesha kwa speed gani? unayoweza kuikumbuka.
Hivi mlikuwa mnalipwa kiasi gani??Pesa kidogo.
Na sasa hivi kazi imeingiliwa na vijana wadogo wadogo.
Njaa kali
Ahh!! Mbona pesa ndogo sana??I was doing that for fun lakini...
By 2009-2010 ilikuwa almost 150k to 200k per trip. (exclude nauli yakurudia)
Kuna kipindi hapo kati ilichanganya sana.Ahh!! Mbona pesa ndogo sana??
Mi nilijua mnakunja 1m huko 😂
No, kuna mambo mengine age factor inakubeba kuyafanya! wala sio shida.😹😹 Nilikuwa nakuzingua usianze kunisema namna gani vipi.!!
Sema ulivyoniambia Subaru kidogo niseme nakufahamu.😹😹 Nilikuwa nakuzingua usianze kunisema namna gani vipi.!!