Hivi hizi taa za kuongozea magari zinazofungwa sasa hapa Dar zimefanyiwa Tathmini au ni Upigaji?

Hivi hizi taa za kuongozea magari zinazofungwa sasa hapa Dar zimefanyiwa Tathmini au ni Upigaji?

Lakini now days IT wamekuwa watulivu sana.
Walikuwa wanakufa sana.
Naona traffic wanawabana sana
Traffic ss hivi wanawabana na wenyewe wanaona hasara kupigwa faini za kijinga.!
 
Traffic ss hivi wanawabana na wenyewe wanaona hasara kupigwa faini za kijinga.!
Pesa kidogo.
Na sasa hivi kazi imeingiliwa na vijana wadogo wadogo.
Njaa kali
 
Taa kwakweli ni nyingi mnoo, wanaweka kwenye kile zebra
 
Hivi mlikuwa mnalipwa kiasi gani??
I was doing that for fun lakini...
By 2009-2010 ilikuwa almost 150k to 200k per trip. (exclude nauli yakurudia)
 
Taa kwakweli ni nyingi mnoo, wanaweka kwenye kile zebra
Ajabu ni kwamba hata kama mita 10 kabla ya hiyo zebra kuna junction, wanaweka na kila taa inakuwa independent
 
I was doing that for fun lakini...
By 2009-2010 ilikuwa almost 150k to 200k per trip. (exclude nauli yakurudia)
Ahh!! Mbona pesa ndogo sana??
Mi nilijua mnakunja 1m huko 😂
 
Ahh!! Mbona pesa ndogo sana??
Mi nilijua mnakunja 1m huko 😂
Kuna kipindi hapo kati ilichanganya sana.
Maybe ilifika 500k. na huwa inategemea umbali.
DRC, Zambia au Malawi bei zinatofautiana sana.

Then kipindi hicho tulikuwa tunaruhusiwa kubeba vichwa.
 
😹😹 Nilikuwa nakuzingua usianze kunisema namna gani vipi.!!
No, kuna mambo mengine age factor inakubeba kuyafanya! wala sio shida.

Maybe naweza kukupa changamoto siku moja kama utataka lakini!!

Tufikie walau 220km/hr uone gari inavyoweza kukimbia. 🤣
 
😹😹 Nilikuwa nakuzingua usianze kunisema namna gani vipi.!!
Sema ulivyoniambia Subaru kidogo niseme nakufahamu.

I know one of my colleague ni Team Subaru, na huwa anaenda kwenye rally mara nyingi.

Anyway kama jina lako halisi linaanza na J.
Itakuwa ni wewe 🤣🤣🤣.
 
Back
Top Bottom