Wameamua kuzingatia watembea kwa miguu. Kitu tofauti na sehemu nyingine ni hizo taa za vivuko vya watembea kwa miguu tu. Ngoja tuone zikianza kufanya kazi itakuwaje.Sasa yafaa nini kuweka zote hizo?
Hizi za Morocco zina afadhali ujue
Ni matumizi mabaya ya pesa za umma.wewe Kuna zebra halafu Tena Kuna taa hapohapo baada ya mita kumi Tena Kuna taaUfanisi wake ukoje?
tell and assure the gentleman,πΉπΉπΉ Yule mbunge alitaka kumalizia story sema waungwana mkamletea nongwa ikabidi ahirishe.!!
Tlaatlaah unaitwa huku
Niko hapa kukupigia kampenitell and assure the gentleman,
kama ananinizungumzia mimi,
mueleze bayana kwamba mimi si wa mchongo,
mimi ni Kiongozi wa wanainchi mnyonge sana, mwenye bidii halisi na asie choka, kimwili na kiroho, kisiasa, kijamii, kitaifa na kimataifa
kwasasa niko bize kidogo na mavuno kwa takribani mwezi mzima, sijaonekana hafla nyingi za kitaifa na kimataifa lakini nipo Kamili kwenye utumishi wa chama na serikali,
na kwenye maombi na maombezi sikosi, huko kwa kazi ya kufundisha vyuo vikuu mpaka October tena π
kwahivyo kwa ujumla nipo ni mejaa tele na mimi ni halisi sio wa mchongo π
Nyoko indeedπππWe are FEW MINUTES AWAY FROM NEW YORK CITY ( NYOKO SIREEEEEE)
Siachi napenda kinouma πΉπΉNa uache fujo barabarani
Honi za yutong nouma.!! Usiombe ukutane nazo asubuhi wanakupigia vinanda mwenyewe unawapisha πHahaha huo siyo uoga ila ndio uhalisia ulioko huko highway yani ukishakuwa huko hakuna cha bmw wala cruiser, wote mnakuwa wapole mbele ya kina scania na yutong maana huko huwa ndio maeneo yao ya kujiachia kuliko yakiwa mjini, na kumbuka lori au basi likikuvaa mara nyingi hasara inakuwa kwako zaidi kuliko kwao
Mimi siyo muoga ila pia huwa sijiamini kiasi hicho nikiwa barabarani, maana si kila ajali anayopata mtu inasababishwa na mhusika nyingine ni za kusababishiwa kwahiyo huwa niko makini sana hata wewe mwenyewe si unaona namna ulivyoponea chupuchupu, yani wale jamaa wana utemi sana hata akiwa kwenye lane yako huna budi kuwa mpole na hata yeye anajua huwezi shindana naye utampisha tu
Anyway kumbe unapenda ligi za road trip kama mimi, basi inshaallah siku nikitulia tutafanya namna tukiwashe ila kwa sasa ratiba zinanibana, nina safari za mara kwa mara za kiofisi ambazo huwa situmii usafiri binafsi sana
Au sio mh πΉπΉtell and assure the gentleman,
kama ananinizungumzia mimi,
mueleze bayana kwamba mimi si wa mchongo,
mimi ni Kiongozi wa wanainchi mnyonge sana, mwenye bidii halisi na asie choka, kimwili na kiroho, kisiasa, kijamii, kitaifa na kimataifa
kwasasa niko bize kidogo na mavuno kwa takribani mwezi mzima, sijaonekana hafla nyingi za kitaifa na kimataifa lakini nipo Kamili kwenye utumishi wa chama na serikali,
na kwenye maombi na maombezi sikosi, huko kwa kazi ya kufundisha vyuo vikuu mpaka October tena π
kwahivyo kwa ujumla nipo ni mejaa tele na mimi ni halisi sio wa mchongo π
πππ ila Uran unayaweza aiseee.!!Niko hapa kukupigia kampeni
πππUsije ukajichanganya kwa huyo mwamba na kick yake ya ubunge.
Utaliwaaa!!
THE CITY NEVER SLEEP . I WISH LE MUTUZ WAS HERE TO WITNESS THE TRANSFORMATION OF BONGO TAMBALALEZZZZ. NEW YORK BABY
na hiyo ni muhimu zaidi ikafahamika hivyo, na kukaa ndraani kabisa ya moyo wa kila Mtanzania mpaka kwenye sanduku la kura serikali za mitaa na uchaguzi mkuu πAu sio mh πΉπΉ
CCM oyeeeee.!!
Mitano tena
πΉπΉπΉWewe ni m'bishi sana ujue.
Njoo kwa ma haslah!! no swagaz