Hivi hizi taa za kuongozea magari zinazofungwa sasa hapa Dar zimefanyiwa Tathmini au ni Upigaji?

Sasa yafaa nini kuweka zote hizo?
Hizi za Morocco zina afadhali ujue
Wameamua kuzingatia watembea kwa miguu. Kitu tofauti na sehemu nyingine ni hizo taa za vivuko vya watembea kwa miguu tu. Ngoja tuone zikianza kufanya kazi itakuwaje.
 
Ndiyo uwezo wetu wa wahandisi..Na mlimani city Kuna taa juu ya taa yaani kwenye zebra Kuna taa na mbele kama mita kumi taa Tena.
 
Ufanisi wake ukoje?
 
😹😹😹 Yule mbunge alitaka kumalizia story sema waungwana mkamletea nongwa ikabidi ahirishe.!!
Tlaatlaah unaitwa huku
tell and assure the gentleman,

kama ananinizungumzia mimi,
mueleze bayana kwamba mimi si wa mchongo,
mimi ni Kiongozi wa wanainchi mnyonge sana, mwenye bidii halisi na asie choka, kimwili na kiroho, kisiasa, kijamii, kitaifa na kimataifa

kwasasa niko bize kidogo na mavuno kwa takribani mwezi mzima, sijaonekana hafla nyingi za kitaifa na kimataifa lakini nipo Kamili kwenye utumishi wa chama na serikali,

na kwenye maombi na maombezi sikosi, huko kwa kazi ya kufundisha vyuo vikuu mpaka October tena 🐒

kwahivyo kwa ujumla nipo ni mejaa tele na mimi ni halisi sio wa mchongo 🐒
 
Niko hapa kukupigia kampeni
 
Hahaha huo siyo uoga ila ndio uhalisia ulioko huko highway yani ukishakuwa huko hakuna cha bmw wala cruiser, wote mnakuwa wapole mbele ya kina scania na yutong maana huko huwa ndio maeneo yao ya kujiachia kuliko yakiwa mjini, na kumbuka lori au basi likikuvaa mara nyingi hasara inakuwa kwako zaidi kuliko kwao

Mimi siyo muoga ila pia huwa sijiamini kiasi hicho nikiwa barabarani, maana si kila ajali anayopata mtu inasababishwa na mhusika nyingine ni za kusababishiwa kwahiyo huwa niko makini sana hata wewe mwenyewe si unaona namna ulivyoponea chupuchupu, yani wale jamaa wana utemi sana hata akiwa kwenye lane yako huna budi kuwa mpole na hata yeye anajua huwezi shindana naye utampisha tu

Anyway kumbe unapenda ligi za road trip kama mimi, basi inshaallah siku nikitulia tutafanya namna tukiwashe ila kwa sasa ratiba zinanibana, nina safari za mara kwa mara za kiofisi ambazo huwa situmii usafiri binafsi sana
Honi za yutong nouma.!! Usiombe ukutane nazo asubuhi wanakupigia vinanda mwenyewe unawapisha 😂

Sema mi nayaogopa malori hawachelewi kukuingiza uvunguni wale.!!
Ukipata chance nicheck sio lazima tufanyie Morogoro road, tunaweza kwenda hata mkuranga kibiti huko ma.
 
tell and assure the gentleman,

kama ananinizungumzia mimi,
mueleze bayana kwamba mimi si wa mchongo,
mimi ni Kiongozi wa wanainchi mnyonge sana, mwenye bidii halisi na asie choka, kimwili na kiroho, kisiasa, kijamii, kitaifa na kimataifa

kwasasa niko bize kidogo na mavuno kwa takribani mwezi mzima, sijaonekana hafla nyingi za kitaifa na kimataifa lakini nipo Kamili kwenye utumishi wa chama na serikali,

na kwenye maombi na maombezi sikosi, huko kwa kazi ya kufundisha vyuo vikuu mpaka October tena 🐒

kwahivyo kwa ujumla nipo ni mejaa tele na mimi ni halisi sio wa mchongo 🐒
Au sio mh 😹😹
CCM oyeeeee.!!
Mitano tena
 
Au sio mh 😹😹
CCM oyeeeee.!!
Mitano tena
na hiyo ni muhimu zaidi ikafahamika hivyo, na kukaa ndraani kabisa ya moyo wa kila Mtanzania mpaka kwenye sanduku la kura serikali za mitaa na uchaguzi mkuu 🐒
 
Back
Top Bottom