nndriyo,πππ
Mbunge wangu huyo wa nyanda za juu kusini, halafu kijana mbichi..!!
Hawezi kunila mwananchi wake.!!
JK aliwahi kusema,Usije ukajichanganya kwa huyo mwamba na kick yake ya ubunge.
Utaliwaaa!!
Anayeweka zile taa ni mkandarasi wa BRT hivyo unaweza kwenda kumwuliza.Maeneo yote uliyotaja ni kwenye huo mradi.Wadau ni balaa sasa,
Taa zinazofungwa kwa sasa kuanzia Barabara ya Gerezani, Sokoine Drive na Kilwa Road sio za kawaida.
Ni nyingi kupita maelezo, nauliza tu aliyefanya Tathmini ya kuweka hizi taa amelenga nini?
Kwa mfano ukitokea Gerezani kona ya Sokoine Drive Kuna msururu wa traffic light. Inaanza ya kivuko cha watembea kwa miguu, mbele mita 10 kuna taa za kuingia barabara ya gerezani mita 10 tena kuna taa za junction ya Sokoine na Gerezani.
Its look too much.
Anyway ngoja tuone zitafanya vipi kazi.
Ila ni kiashiria cha uharibifu wa rasilimali pesa.
Umeua π€£ π€£ π€£JK aliwahi kusema,
ukitaka kula, lazma nawe uliwe kidogo..π
kama kiongozi muhimu na madhubuti mie sio mtu wa kula kula wanainchi japo wamenona balaa, wala kuliwa,
mimi ni mtu wa kujitolea kwa wanainchi katika ujumla wao kwa hali na mali katika kuwatumikia..
nina aminika kutokua na madhara nje ya kazi za maendeleo π
Wadau ni balaa sasa,
Taa zinazofungwa kwa sasa kuanzia Barabara ya Gerezani, Sokoine Drive na Kilwa Road sio za kawaida.
Ni nyingi kupita maelezo, nauliza tu aliyefanya Tathmini ya kuweka hizi taa amelenga nini?
Kwa mfano ukitokea Gerezani kona ya Sokoine Drive Kuna msururu wa traffic light. Inaanza ya kivuko cha watembea kwa miguu, mbele mita 10 kuna taa za kuingia barabara ya gerezani mita 10 tena kuna taa za junction ya Sokoine na Gerezani.
Its look too much.
Anyway ngoja tuone zitafanya vipi kazi.
Ila ni kiashiria cha uharibifu wa rasilimali pesa.
Haha zile honi zao zinanifurahishaga sana sijui ndio huwa wanasalimiana yani mtu anatengeneza kabeat kabisa, sasa kama wa daladala tu hapa hapa mjini wanatufanyia vurugu hadi tunawapisha maana wanajua mkikwanguana wewe ndio una hasara kubwa sembuse hao wa mabasi na malori, anyway usijali nikipata chance nitakucheck tuende hata mbali kidogo hapo pwani naona karibu sanaHoni za yutong nouma.!! Usiombe ukutane nazo asubuhi wanakupigia vinanda mwenyewe unawapisha π
Sema mi nayaogopa malori hawachelewi kukuingiza uvunguni wale.!!
Ukipata chance nicheck sio lazima tufanyie Morogoro road, tunaweza kwenda hata mkuranga kibiti huko ma.
Poa poa hamna shida, ukiwa tayari nishtue.!Haha zile honi zao zinanifurahishaga sana sijui ndio huwa wanasalimiana yani mtu anatengeneza kabeat kabisa, sasa kama wa daladala tu hapa hapa mjini wanatufanyia vurugu hadi tunawapisha maana wanajua mkikwanguana wewe ndio una hasara kubwa sembuse hao wa mabasi na malori, anyway usijali nikipata chance nitakucheck tuende hata mbali kidogo hapo pwani naona karibu sana