Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
nndriyo,๐๐๐
Mbunge wangu huyo wa nyanda za juu kusini, halafu kijana mbichi..!!
Hawezi kunila mwananchi wake.!!
ni uzalendo wa kiwango cha juu sana kupenda viongozi na kuwatetea bila kuchoka, ili nasi tupate nguvu zaidi za kuwatumikia na kuwahudumia wananchi bila kuchoka wala kukata Tamaa ๐
wananchi ni watu wa maana sana...