Hivi hizi taa za kuongozea magari zinazofungwa sasa hapa Dar zimefanyiwa Tathmini au ni Upigaji?

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mbunge wangu huyo wa nyanda za juu kusini, halafu kijana mbichi..!!
Hawezi kunila mwananchi wake.!!
nndriyo,

ni uzalendo wa kiwango cha juu sana kupenda viongozi na kuwatetea bila kuchoka, ili nasi tupate nguvu zaidi za kuwatumikia na kuwahudumia wananchi bila kuchoka wala kukata Tamaa ๐Ÿ’

wananchi ni watu wa maana sana...
 
Hii ndio inaonyesha uwezo wa kufikiria wa Tanroads ulivyo na Mashaka, poor thinking, badala ya kufikiria hata underpasses za waenda Kwa miguu Bado wanahangaika na taa zilizopitwa na wakati
 
Usije ukajichanganya kwa huyo mwamba na kick yake ya ubunge.
Utaliwaaa!!
JK aliwahi kusema,
ukitaka kula, lazma nawe uliwe kidogo..๐Ÿ’

kama kiongozi muhimu na madhubuti mie sio mtu wa kula kula wanainchi japo wamenona balaa, wala kuliwa,

mimi ni mtu wa kujitolea kwa wanainchi katika ujumla wao kwa hali na mali katika kuwatumikia..

nina aminika kutokua na madhara nje ya kazi za maendeleo ๐Ÿ’
 
Wadau ni balaa sasa,

Taa zinazofungwa kwa sasa kuanzia Barabara ya Gerezani, Sokoine Drive na Kilwa Road sio za kawaida.

Ni nyingi kupita maelezo, nauliza tu aliyefanya Tathmini ya kuweka hizi taa amelenga nini?

Kwa mfano ukitokea Gerezani kona ya Sokoine Drive Kuna msururu wa traffic light. Inaanza ya kivuko cha watembea kwa miguu, mbele mita 10 kuna taa za kuingia barabara ya gerezani mita 10 tena kuna taa za junction ya Sokoine na Gerezani.

Its look too much.

Anyway ngoja tuone zitafanya vipi kazi.

Ila ni kiashiria cha uharibifu wa rasilimali pesa.
Anayeweka zile taa ni mkandarasi wa BRT hivyo unaweza kwenda kumwuliza.Maeneo yote uliyotaja ni kwenye huo mradi.
 
JK aliwahi kusema,
ukitaka kula, lazma nawe uliwe kidogo..๐Ÿ’

kama kiongozi muhimu na madhubuti mie sio mtu wa kula kula wanainchi japo wamenona balaa, wala kuliwa,

mimi ni mtu wa kujitolea kwa wanainchi katika ujumla wao kwa hali na mali katika kuwatumikia..

nina aminika kutokua na madhara nje ya kazi za maendeleo ๐Ÿ’
Umeua ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
 
Wadau ni balaa sasa,

Taa zinazofungwa kwa sasa kuanzia Barabara ya Gerezani, Sokoine Drive na Kilwa Road sio za kawaida.

Ni nyingi kupita maelezo, nauliza tu aliyefanya Tathmini ya kuweka hizi taa amelenga nini?

Kwa mfano ukitokea Gerezani kona ya Sokoine Drive Kuna msururu wa traffic light. Inaanza ya kivuko cha watembea kwa miguu, mbele mita 10 kuna taa za kuingia barabara ya gerezani mita 10 tena kuna taa za junction ya Sokoine na Gerezani.

Its look too much.

Anyway ngoja tuone zitafanya vipi kazi.

Ila ni kiashiria cha uharibifu wa rasilimali pesa.

Kwa sababu hizo hizo barabara ni za mtaa pia...

Hatuna express way bongo...
 
Ni sawa taa kuwepo kila zebra?

Hata kama mita chache mbele kuna junction?
 
Honi za yutong nouma.!! Usiombe ukutane nazo asubuhi wanakupigia vinanda mwenyewe unawapisha ๐Ÿ˜‚

Sema mi nayaogopa malori hawachelewi kukuingiza uvunguni wale.!!
Ukipata chance nicheck sio lazima tufanyie Morogoro road, tunaweza kwenda hata mkuranga kibiti huko ma.
Haha zile honi zao zinanifurahishaga sana sijui ndio huwa wanasalimiana yani mtu anatengeneza kabeat kabisa, sasa kama wa daladala tu hapa hapa mjini wanatufanyia vurugu hadi tunawapisha maana wanajua mkikwanguana wewe ndio una hasara kubwa sembuse hao wa mabasi na malori, anyway usijali nikipata chance nitakucheck tuende hata mbali kidogo hapo pwani naona karibu sana
 
Poa poa hamna shida, ukiwa tayari nishtue.!
 
Back
Top Bottom