Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,265
- 201,451
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huko mbweni bila "D" tatu za masomo ya sayansi huwezi elewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huko mbweni bila "D" tatu za masomo ya sayansi huwezi elewa
Umeongea vizuri! Watu wa aina hiyo ni watu wachafu! Kaa nao kwa akili! Hawakawii kukupoteza wakigundua unawadukua!Habari za Sabato Wakuu!
Wiki nzima hii nilikuwa huku Mbweni, ninakijiplot changu. Sasa kwa hali niliyoikuta nimejikuta ninakata tamaa.
Aiseeh! Hawa majirani zangu sio Pouwa. Hii mijengo walioidondosha na wanaoidondosha sio Pouwa! Unaweza ukadhani upo kwenye filamu za kinaijeria.
Hapa nashauriwa niuze hiki kiwanja kwa sababu pesa ya kujenga vyuma kama vile haiwezekaniki bila kuwa aidha mwekezaji, Fisadi, muuza madawa, mfanyabiashara wa madini, Mwanasiasa mlafi, mzee wa dili haramu na katili, mzee wa kuzamisha wavuni mipira iliyokufa na Watu wa aina hiyo.
Magari yanayopita huku ni magari mazito, Chris Lukosi huita madungu jeshi.
Hivi kweli hawa wanaojenga huku Mbweni ni Watanzania kweli? Maana umaskini wa nchi yetu na hizi nyumba huku ni mbingu na ardhi.
Santeni
Yeah kuna mansion moja kule kwa samia asee hadi nilitamani nigonge geti, niingie nikampigie salute mwenye ule mjengo sijui ni wa nani asee, ile lami ya kule chini baharini wakipaweka vizuri rodeo drive hii hapa aseeEeh bwana nilipata same feeling ya Beverly Hills mkuu. Kweli we Mbweni umefika aisee.
Si ndio hapo sasa shida ilipo mzee.Kila mwaka kazi kubadili ramani ya nyumba itakavyokuwa
K
😂😂We endelea kukesha JF ukijifanya mwanafilosofia.
Kishua wanajulikana tu, mboga nane huwa mnakuwaga na tumaneno au tukauli unajua kabisa huyu mtoto hata joto la jua la Dar halimtesi kabisa ndani AC, akitoka nje yupo kwenye Alphard ya mshua kiyoyozi mwaaah. Wakishua acha kutusolola mboga moja bakuli size ya kikombe cha kahawa ugali mlima hadi humuoni wa upande wa pili, mixer mbonga unajitafutia mwenyewe ugali utapewa bure.Mwee mbona umenipamba hivyo mie Sina ushua wowote [emoji3][emoji3]
Kumbe hujui hapo panatakiwa kuwa New York Tz nina bi mkubwa huko ni mstaafu alinidokeza soon narudi tena kushangaa hiyo mitaaHabari za Sabato Wakuu!
Wiki nzima hii nilikuwa huku Mbweni, ninakijiplot changu. Sasa kwa hali niliyoikuta nimejikuta ninakata tamaa.
Aiseeh! Hawa majirani zangu sio Pouwa. Hii mijengo walioidondosha na wanaoidondosha sio Pouwa! Unaweza ukadhani upo kwenye filamu za kinaijeria.
Hapa nashauriwa niuze hiki kiwanja kwa sababu pesa ya kujenga vyuma kama vile haiwezekaniki bila kuwa aidha mwekezaji, Fisadi, muuza madawa, mfanyabiashara wa madini, Mwanasiasa mlafi, mzee wa dili haramu na katili, mzee wa kuzamisha wavuni mipira iliyokufa na Watu wa aina hiyo.
Magari yanayopita huku ni magari mazito, Chris Lukosi huita madungu jeshi.
Hivi kweli hawa wanaojenga huku Mbweni ni Watanzania kweli? Maana umaskini wa nchi yetu na hizi nyumba huku ni mbingu na ardhi.
Santeni
Mitaa ya ushuani kidogo? Kwasababu huko walikojenga ghorofa siweziHadi M 30 vipo mkuu ila sijajua hicho kina ukubwa gani ila hakifiki SQM 1000
Habari za Sabato Wakuu!
Wiki nzima hii nilikuwa huku Mbweni, ninakijiplot changu. Sasa kwa hali niliyoikuta nimejikuta ninakata tamaa.
Aiseeh! Hawa majirani zangu sio Pouwa. Hii mijengo walioidondosha na wanaoidondosha sio Pouwa! Unaweza ukadhani upo kwenye filamu za kinaijeria.
Hapa nashauriwa niuze hiki kiwanja kwa sababu pesa ya kujenga vyuma kama vile haiwezekaniki bila kuwa aidha mwekezaji, Fisadi, muuza madawa, mfanyabiashara wa madini, Mwanasiasa mlafi, mzee wa dili haramu na katili, mzee wa kuzamisha wavuni mipira iliyokufa na Watu wa aina hiyo.
Magari yanayopita huku ni magari mazito, Chris Lukosi huita madungu jeshi.
Hivi kweli hawa wanaojenga huku Mbweni ni Watanzania kweli? Maana umaskini wa nchi yetu na hizi nyumba huku ni mbingu na ardhi.
Santeni
Uko ni ulaya ya Tanzania unajihisi upon abroad ukiwa hukoHabari za Sabato Wakuu!
Wiki nzima hii nilikuwa huku Mbweni, ninakijiplot changu. Sasa kwa hali niliyoikuta nimejikuta ninakata tamaa.
Aiseeh! Hawa majirani zangu sio Pouwa. Hii mijengo walioidondosha na wanaoidondosha sio Pouwa! Unaweza ukadhani upo kwenye filamu za kinaijeria.
Hapa nashauriwa niuze hiki kiwanja kwa sababu pesa ya kujenga vyuma kama vile haiwezekaniki bila kuwa aidha mwekezaji, Fisadi, muuza madawa, mfanyabiashara wa madini, Mwanasiasa mlafi, mzee wa dili haramu na katili, mzee wa kuzamisha wavuni mipira iliyokufa na Watu wa aina hiyo.
Magari yanayopita huku ni magari mazito, Chris Lukosi huita madungu jeshi.
Hivi kweli hawa wanaojenga huku Mbweni ni Watanzania kweli? Maana umaskini wa nchi yetu na hizi nyumba huku ni mbingu na ardhi.
Santeni
Hapana ni uswahilini kidogo ushuani hamna cha bei hiyoMitaa ya ushuani kidogo? Kwasababu huko walikojenga ghorofa siwezi
Kitunda, huko kivule....mkuu kama hutojari uza icho nije nikupe kiwanja kikubwa mno...!
View attachment 2955790
kuna hiki kiwanja hapa kipo... karibia na kitunda, kivule kilomita chache ukiwa unatokea banana.... kina ukubwa wa MITA 25*30 kinahitaji 25 milioni tu...!
View attachment 2955789
urefu wake ni kuanzia hiyo nguzo u nayo iona hadi ile nguzo ya juu kule ya umeme...
Bora ajenge tu hivyo hivyo 😂 huko ushuani walau atakuwa na majirani wa kueleweka. Rahisi hata kwa wanae kutoka kimaisha kupitia connection za majirani wazito.Uza hapo hiçho kiwanja pesa utakayopata unañunuwa kiwanja Kinyerezi na unajenga nyumba nzuri Kwa millioni 35 tu.
ni kweli mkuu pamekuwa changanyikeni sana...!Kitunda, huko kivule....
Kuna mazingira ukiwa na mzigo wa maana huwezi kwenda, sema hela yetu ya kuunga so popote kambi
Zamani wakati mambo ya Picnic ndio ilikuwa fashion tulikuwa tukienda ndege Beach, Mbweni palikuwa porini.Mkuu ni kweli una kiwanja au kamba tu.
Watoto watakataa kuchoreka watakuja kupauza tu.Bora ajenge tu hivyo hivyo 😂 huko ushuani walau atakuwa na majirani wa kueleweka. Rahisi hata kwa wanae kutoka kimaisha kupitia connection za majirani wazito.
HahahahahaaaWe endelea kukesha JF ukijifanya mwanafilosofia.