Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

Habari za Sabato Wakuu!

Wiki nzima hii nilikuwa huku Mbweni, ninakijiplot changu. Sasa kwa hali niliyoikuta nimejikuta ninakata tamaa.

Aiseeh! Hawa majirani zangu sio Pouwa. Hii mijengo walioidondosha na wanaoidondosha sio Pouwa! Unaweza ukadhani upo kwenye filamu za kinaijeria.

Hapa nashauriwa niuze hiki kiwanja kwa sababu pesa ya kujenga vyuma kama vile haiwezekaniki bila kuwa aidha mwekezaji, Fisadi, muuza madawa, mfanyabiashara wa madini, Mwanasiasa mlafi, mzee wa dili haramu na katili, mzee wa kuzamisha wavuni mipira iliyokufa na Watu wa aina hiyo.

Magari yanayopita huku ni magari mazito, Chris Lukosi huita madungu jeshi.

Hivi kweli hawa wanaojenga huku Mbweni ni Watanzania kweli? Maana umaskini wa nchi yetu na hizi nyumba huku ni mbingu na ardhi.

Santeni
Uza kiwanja uhamie Buza mkuu
 
Weka bei ya hiyo ardhi yako chap tumalizane.
 
Sasa umenunua kiwanja 32m unakosaje mbavu za kujenga kitu cha maana hata mdogomdogo? Usije ifedhehesha familia yako ukajenga kitu cha ajabu ukawa maskini wa mtaa....wataishi kinyonge maisha yao yote. Mimi nakumbuka enzi za utoto kuna jirani nyumba yao ilikuaga duni afu haikuaga na umeme,mpaka tumekua wakubwa na jamaa wanamaisha yao ila ile picha ya kuwa jamaa walikuaga wanyonge wa mtaa haijapotea..na wao imewaathiri kiaina japo saizi wanamaisha poa walisawazisha baada ya kumaliza vyuo na kupata ajira...na dada yao mkubwa yuko US
 
Kishua wanajulikana tu, mboga nane huwa mnakuwaga na tumaneno au tukauli unajua kabisa huyu mtoto hata joto la jua la Dar halimtesi kabisa ndani AC, akitoka nje yupo kwenye Alphard ya mshua kiyoyozi mwaaah. Wakishua acha kutusolola mboga moja bakuli size ya kikombe cha kahawa ugali mlima hadi humuoni wa upande wa pili, mixer mbonga unajitafutia mwenyewe ugali utapewa bure.

Ntakutafuta unipe hata kazi ya udereva tuwe tunabishana kwenye gari lenu.
Haha ninyi ndio mnaponza wenzenu watu humu watadhani mimi kweli wa kishua halafu wakija kunifahamu nje ya jf wanakuta kumbe ni mpuuzi mmoja tu asiye na maajabu yoyote, mkuu trust me mimi siyo wa kishua Mbweni kuna mitaa ni uswahilini typical kama unabisha funga safari uje ujionee hiyo mitaa mwenyewe, mimi wala sina ushua wowote sisi ni masikini wenye unafuu tu wewe ndio unaonekana kwenu wa kishua ila unatuchora tu hapa 😀😀
 
Habari za Sabato Wakuu!

Wiki nzima hii nilikuwa huku Mbweni, ninakijiplot changu. Sasa kwa hali niliyoikuta nimejikuta ninakata tamaa.

Aiseeh! Hawa majirani zangu sio Pouwa. Hii mijengo walioidondosha na wanaoidondosha sio Pouwa! Unaweza ukadhani upo kwenye filamu za kinaijeria.

Hapa nashauriwa niuze hiki kiwanja kwa sababu pesa ya kujenga vyuma kama vile haiwezekaniki bila kuwa aidha mwekezaji, Fisadi, muuza madawa, mfanyabiashara wa madini, Mwanasiasa mlafi, mzee wa dili haramu na katili, mzee wa kuzamisha wavuni mipira iliyokufa na Watu wa aina hiyo.

Magari yanayopita huku ni magari mazito, Chris Lukosi huita madungu jeshi.

Hivi kweli hawa wanaojenga huku Mbweni ni Watanzania kweli? Maana umaskini wa nchi yetu na hizi nyumba huku ni mbingu na ardhi.

Santeni
Hapo kwa wanaojenga hiyo mijengo mikali umesahau na wale wazee wanaolala na chatu...
 
Haha ninyi ndio mnaponza wenzenu watu humu watadhani mimi kweli wa kishua halafu wakija kunifahamu nje ya jf wanakuta kumbe ni mpuuzi mmoja tu asiye na maajabu yoyote, mkuu trust me mimi siyo wa kishua Mbweni kuna mitaa ni uswahilini typical kama unabisha funga safari uje ujionee hiyo mitaa mwenyewe, mimi wala sina ushua wowote sisi ni masikini wenye unafuu tu wewe ndio unaonekana kwenu wa kishua ila unatuchora tu hapa [emoji3][emoji3]
Nitakuja ila nitabeba na vyeti kabisa just in case umetupiga kamba hapa.
 
Back
Top Bottom