Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

Umeongea vizuri! Watu wa aina hiyo ni watu wachafu! Kaa nao kwa akili! Hawakawii kukupoteza wakigundua unawadukua!
 
Eeh bwana nilipata same feeling ya Beverly Hills mkuu. Kweli we Mbweni umefika aisee.
Yeah kuna mansion moja kule kwa samia asee hadi nilitamani nigonge geti, niingie nikampigie salute mwenye ule mjengo sijui ni wa nani asee, ile lami ya kule chini baharini wakipaweka vizuri rodeo drive hii hapa asee
 
mkuu kama hutojari uza icho nije nikupe kiwanja kikubwa mno...!

kuna hiki kiwanja hapa kipo... karibia na kitunda, kivule kilomita chache ukiwa unatokea banana.... kina ukubwa wa MITA 25*30 kinahitaji 25 milioni tu...!



urefu wake ni kuanzia hiyo nguzo u nayo iona hadi ile nguzo ya juu kule ya umeme...​
 

Attachments

  • 20240405_160210_062919.jpg
    1.1 MB · Views: 9
Mwee mbona umenipamba hivyo mie Sina ushua wowote [emoji3][emoji3]
Kishua wanajulikana tu, mboga nane huwa mnakuwaga na tumaneno au tukauli unajua kabisa huyu mtoto hata joto la jua la Dar halimtesi kabisa ndani AC, akitoka nje yupo kwenye Alphard ya mshua kiyoyozi mwaaah. Wakishua acha kutusolola mboga moja bakuli size ya kikombe cha kahawa ugali mlima hadi humuoni wa upande wa pili, mixer mbonga unajitafutia mwenyewe ugali utapewa bure.

Ntakutafuta unipe hata kazi ya udereva tuwe tunabishana kwenye gari lenu.
 
Kumbe hujui hapo panatakiwa kuwa New York Tz nina bi mkubwa huko ni mstaafu alinidokeza soon narudi tena kushangaa hiyo mitaa
 
Uko ni ulaya ya Tanzania unajihisi upon abroad ukiwa huko
 
Kitunda, huko kivule....
Kuna mazingira ukiwa na mzigo wa maana huwezi kwenda, sema hela yetu ya kuunga so popote kambi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…