Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

Hebu andika haya mambo kisomi na kwa mujibu wa sheria usiweke mihemko na mawazo yako binafsi, siyo unaleta habari za oo sijui kiIQ mara mtu aliyeelimika na blah blah kibao, ni kanuni gani inayosema hayo
 
mnatutamanisha , sema kama humiliki viwanda, au makampuni, au serikalini kama hauko kwenye kada yenye mshahara mnono , hautathubutu kujenga.
Yeah kuna mansion moja kule kwa samia asee hadi nilitamani nigonge geti, niingie nikampigie salute mwenye ule mjengo sijui ni wa nani asee, ile lami ya kule chini baharini wakipaweka vizuri rodeo drive hii hapa asee
 
Kaka Mimi sija ulizia kiwanja popote, nili taka kuona ramani ya mkuu luckyline tu.

Beside nataka angusha kidude flani hivi, so nataka nicheki kitu Cha kuni fanya niji tathimini😁.

Beside huko bunyokwa SI uchawini kabisa πŸ˜‚ Eyce
lakin kaka c ulisema we ni jobless hueleweki, watu mnatuchora sana πŸ˜‚
 
Penati ya mwisho. 😎

Ngoja tupambane vijana. Tutatoboa tu.

-Kaveli-
 
Halafu huu ujinga mkiwa mna jadiliana, una kimbilia mambo ya PhD Ume Anza lini??.

Mbona watu wengi wenye mafanikio katika sekta baadhi, Hawana hivyo vitu- na still Wana wanyoosha katika nyanja Fulani??

Mkumbushe kuwa hata 'honorary PhD' nayo pia inaitwa ni 'PhD'.

Hata hivyo, siyo kila mwenye Doctorate PhD ana mafanikio (kifikra au kiuchumi). 😎

-Kaveli-
 
Jadda Pinket mzee wa ligi..... samaleko mkuu 😎

-Kaveli-
 
Jadda Pinket mzee wa ligi..... samaleko mkuu 😎

-Kaveli-
Huwa nashangaa sana pale watu wawili wanapobishana, halafu mmoja ndiye anayeonekana mbishi, mkuu huyo angekuwa hapendi ligi tusingefika hapa
 
Huwa nashangaa sana pale watu wawili wanapobishana, halafu mmoja ndiye anayeonekana mbishi, mkuu huyo angekuwa hapendi ligi tusingefika hapa
sema jadda nakukubali sana , huw napitia replies zako , unajua kujenga hoja kwa namna nzuri sana. πŸ˜‚
 
Kaka Mimi sija ulizia kiwanja popote, nili taka kuona ramani ya mkuu luckyline tu.

Beside nataka angusha kidude flani hivi, so nataka nicheki kitu Cha kuni fanya niji tathimini😁.

Beside huko bunyokwa SI uchawini kabisa πŸ˜‚ Eyce
Ramani nilii misplace naendelea itafuta, nikiikosa nyumba ikiisha nitawawekea hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…