Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

Usitie shaka, wahenga walisema kwenye msafara wa mamba, kenge hawakosi.
Sasa wewe ndiye yule kenge, vumilia tu!
 
inahitani mtu mmoja wa maana kukufanya uione njia ya mafanikio muda mwingine tunakwama padogo sana
 
Kwa kuanzia kutokana na eneo ni kubwa ningeanza na walau 70M lakini hiyo huku nilipiga tathmini nyumba bei ya chini kabisa ni milioni 300 kuendelea
Haina haja ya kuogopa,
Hiyo pesa unaweza kujenga nyumba ya kawaida ila ya viwango ( yenye muonekano mzuri sana )

Tafuta kampuni ya ujenzi nzuri ( Kampuni zipo nyingi sasa hivi na wanafanya kazi kwa ushindani mkubwa ),
Hiyo pesa wanakujengea nyumba ambayo hata hao wanaomiliki mahekalu watatamani nyumba yako hiyo ndogo.
 

πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
 
Mi miaka ile ya 2005 nikawa nimeuza nyumba moja maeneo ya arusha nikaja kununua viwanja vinne JKT beach plot nilichekwa sana enzi zile. Kulikuwa por tupu. Lakin hesabu zangu ni kuwa mbweni jkt ndio eneo Dar lililo karibu na lenye beach so soon kutakuwa moto. Namshukuru Mungu aisee. Kuna eneo lingine watu hawajustuka soon wataanza kuongea. Kijana wetu wa Leo unajiona wapi miaka 10 ijayo ukijiangalia leo. Why don't u start today guys. Kila kitu kiko mbele yako anzia ulipo Mungu anabariki ni hakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…