Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

Unatakiwa kufurahi kuwa plot yako ipo kwenye eneo zuri, kama huna uwezo wa kuijenga iweke for Sale, utauza pesa ndefu sana na kuweza kupata plot sehemu ya kawaida ukajenge nyumba nzuri.

Unaweza kuuza hata 500m, wenye hela wanaangalia mazingira tu. Wewe nenda sehemu nzuri ukanunue eneo zuri na kubwa ufanye maisha.

Usijifosi kuishi mazingira huwezi kumudu(huendani nayo)
 
Picha ziko wapi
 
So far, best categorization
 

Nataka kuiga kunya kwa tembo lakini naona uzalendo unanishinda
 
Huko mbweni bila "D" tatu za masomo ya sayansi huwezi elewa
 
Kaa apo hadi walete ofa ya maana iyo ni pesa iyo kila siku thamani ya eneo ina ongezeka .
 
Eeh bwana nilipata same feeling ya Beverly Hills mkuu. Kweli we Mbweni umefika aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…