Hivi huku ni kujivuna au?

Kuna mmoja alipata kazi jaman wootee waliomsaidia akawaona hawana maana,kuja kusalimia ndugu mpaka awe na nguo mpya,simu au pochi mpya kuja kuwakonga napo hakai sana anaaga na visababu mara ooh nina kikao mahali,mara nafatilia dili la hela sehemu.
Na wewe tafuta kazi mpya uone raha yake, acheni majungu na maisha ya watu
 
Siku zote mtu ukivuka hatua moja kwenye maisha na kuwaacha wale uliokua nao pamoja huishia kusema unalinga, sasa jamaa kavuka toka kutembea kwa mguu mpaka kutembelea matako lazima mseme ana linga,maana amesha wa over take tayari .....acheni majungu majungu mtu kuji keep busy na maisha yake ndio silaha ya maendeleo,Leo hii mnamsema hivyo siku akishuka tu akipanda daladala ndio hatokauka vinywani mwenu, eleweni jambo moja salamu sio lazima Bali kutunza heshima
 
Ni makosa kuendesha gari huku macho yako yakipepesa pepesa kwa wale unaowapita, yanaweza kukukuta, acha ushamba we kikongwe
 
Wewe na HR 666 mna akili sawa
Pole sana, ila ukweli una uma na ni upumbavu kunifananisha na mtoto kama HR 666
Acheni kujadiri maisha ya watu waliofanikiwa, eti ooh alipopata kazi hata kusalimia ndugu hakai sasa atakaaje wakati amepata kazi? Watu namna yenu hamna Mbele wa nyuma zaidi ya majungu majungu "eti kuja kusalimia ndugu lazima awe na pochi mpya,simu mpya na Nguo mpya" hahahahahaaa huo wako ni uswahili !!!
 
Ukisikia yalaaa ujue limekupata
 
Hapo tunasema jamaa amenunua "ulimbo", mleta mada soon atanasa [emoji23] [emoji23]
 
Na ww Nunua BMW uone kama hatokusalimia..
 
Ni makosa kuendesha gari huku macho yako yakipepesa pepesa kwa wale unaowapita, yanaweza kukukuta, acha ushamba we kikongwe
Hilo kikongwe ni jina la batizo la mama yako
 
Aisee wee mwanamke una kidomo domo kila siku unaropoka jipya
Ulianza kujitapa una mume,saiv unaturingishia gari hayatuhusu bibie.uso umekupauka kama make up ya kuazima.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] na kizuri zaidi hatutaacha kulinga I'll muendelee kuongea,sisi kwetu raha tu twatembelea matako na used cars zetu na kama haitoshi kila tuvaachp mtakiita kipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…