Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Thread was deleted
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee😁Kwani utaalamu unaotumika kukadiria hiyo miaka una uhakikia gani kuwa wanapatia ...eti miaka Milioni 6 !😁😂😂
Hayo yote no kuffikirika tu
HapanaMbona comments zote hizo zinaonesha wanajua ila walikuwa wanatia tu utani!.
Mtoa mada umeamua kuchukulia serious jokes.
Ila Mimi Sayansi wakati mwingine no Kama Imani tu....husasani Hilo la kukuadiria miaka 😁😁😁Hapana
Wapo serious kabisa
Nilijaribu kuwaelimisha kidogo kuhusu hilo nikaambulia kutukanwa tu
Acha ujuaji wewe,we mwenyewe unajiita mwanageolojia unahakika ngani kama hiyo mifupa 150milion umri wake? nawe si umekariri tu kutoka kwa wazungu hayo ni mambo ya kufikirika tuHabarini wana jamvi...
Moja kwa moja kwenye mada husika....
Nilikuwa naperuzi kwenye mtandao mmoja maarufu na kukutana na habari ya kugunduliwa kwa mijusi (Dinosaurs) huko lindi ambao wanakadiriwa kuwepo miaka million 150 iliyopita...
Sasa kizaa zaa kikaanzia hapo watu kushangaa hio miaka eti sasa hivi ndio kwanza mwaka 2021, wanahoji hayo mamilioni ya miaka yametoka wapi?
Nimeishiwa na pozi kabisa yaani......
Kwa sisi tunao somea Geology (Jiolojia) hatubabaishwi kabisa na hizo data kwani dunia inakadiriwa kuwa na miaka bilioni 4.5..... So ndani ya huo muda vingi vimefanyika na kutokea
Nawasilisha
View attachment 1962274
View attachment 1962275
View attachment 1962276
View attachment 1962277
Hata Waabeshi(Ethiopians), wana hesabu yao, yaani hii dunia tuliiikoroga wenyewe! 🤣 🤣 🤣Waeleweshe kama unaelewa. Miaka 2021 tangu kuzaliwa Kristo. Wao ndio walianzisha hesabu hizi zinazotumika sasa sehemu kubwa ulimwenguni. Wachina wana hesabu zao, na Waislamu wana hesabu zao. Sasa kama kwa uelewa huo mdogo, kama Yesu alizaliwa ulimwengu upo, maana yake kuna muda mrefu nyuma yake.
Hata jiografia ya form 6 ina mada ya geoligical time scale, kwa wakiristo na waislamu sijui hio time scale huwa wanaichikuliaje ukihusisha dini, ukiongezea na carbon dating unapata irrelevant information to religion.Habarini wana jamvi...
Moja kwa moja kwenye mada husika.... Nilikuwa naperuzi kwenye mtandao mmoja maarufu na kukutana na habari ya kugunduliwa kwa mijusi (Dinosaurs) huko lindi ambao wanakadiriwa kuwepo miaka million 150 iliyopita...
Sasa kizaa zaa kikaanzia hapo watu kushangaa hio miaka eti sasa hivi ndio kwanza mwaka 2021, wanahoji hayo mamilioni ya miaka yametoka wapi?
Nimeishiwa na pozi kabisa yaani......
Kwa sisi tunao somea Geology (Jiolojia) hatubabaishwi kabisa na hizo data kwani dunia inakadiriwa kuwa na miaka bilioni 4.5..... So ndani ya huo muda vingi vimefanyika na kutokea
Nawasilisha
View attachment 1962274
View attachment 1962275
View attachment 1962276
View attachment 1962277