Hivi huku ni kukosa Elimu kwa baadhi ya Watanzania au ni nini? Nimeshangaa sana!

Kwani utaalamu unaotumika kukadiria hiyo miaka una uhakikia gani kuwa wanapatia ...eti miaka Milioni 6 !πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚
Hayo yote no kuffikirika tu
 
Waeleweshe kama unaelewa. Miaka 2021 tangu kuzaliwa Kristo. Wao ndio walianzisha hesabu hizi zinazotumika sasa sehemu kubwa ulimwenguni. Wachina wana hesabu zao, na Waislamu wana hesabu zao. Sasa kama kwa uelewa huo mdogo, kama Yesu alizaliwa ulimwengu upo, maana yake kuna muda mrefu nyuma yake.
 
Acha ujuaji wewe,we mwenyewe unajiita mwanageolojia unahakika ngani kama hiyo mifupa 150milion umri wake? nawe si umekariri tu kutoka kwa wazungu hayo ni mambo ya kufikirika tu
 
Hawa watu inaonyesha hata elimu ya dini imewaangusha.
Theological dunia ina miaka elfu 6 ila hawa watu wanahesabu kuanzia tar 01.01.0001. wakijua sasa ina miaka elfu 2 tu.
Sayansi ndio ya kuisikiliza maana wsmekuja na utafiti sawia.
 
Hata Waabeshi(Ethiopians), wana hesabu yao, yaani hii dunia tuliiikoroga wenyewe! 🀣 🀣 🀣
 
Bongo general knowledge ni kitu adimu sana, si kwa wasomi si kwa wasiosoma. Wanaamini kuhusu hekaya nk.

Mfano jaribu kumwambia graduate au hata prof wa bongo kuwa nyongo ya mamba siyo sumu!!!πŸ˜€πŸ˜€
 
Hata jiografia ya form 6 ina mada ya geoligical time scale, kwa wakiristo na waislamu sijui hio time scale huwa wanaichikuliaje ukihusisha dini, ukiongezea na carbon dating unapata irrelevant information to religion.
Kwa hio ni ukosefu wa elimu tu,ukosefu wa elimu huwafanya watu washangae au waamini vitu kirahisi rahisi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…