Hivi humu JamiiForums inawezekana kuipata namba ya simu bila ya mhusika kutoa?

Hivi humu JamiiForums inawezekana kuipata namba ya simu bila ya mhusika kutoa?

Lech Poznan

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2025
Posts
783
Reaction score
1,211
Husika kichwa cha habari hajuu nataka kujua je inaweza kupata namba ya simu ya Mchangiaji yoyote humu bila yeye kukupa?

Kwasababu humu kuna watu aina mbalimbali wanafatilia Coment za kuisema Serikali, kuna namba inanipigia simu bahati mbaya nakua sipo karibu na simu na niki jaribu kuipgia mpokeaji anasema mimi ndiyo nimeanza kumpigia na mimi nakua nakata simu, Leo hiyo namba imenipigia tena kama kawaida yangu sikua na simu karibu, baada ya kushika simu nikakuta namba ile ile imenipigia na mimi nikabidi niipige lakini mpokeaji akapokea lakini hakutaka kuongea nikasubiri mpaka dakika 4 simu ipo hewani lakini aongei nasikia kelele za magari, Sasa ikabidi niangalie usajili nikakuta Jina la mtu ambaye simfahamu kabisa.

Sasa nimepata wasiwasi kwasababu Sasa hivi utekaji umeshika kasi. Ndiyo maana nikataka kujua je humu ndani tupo salama kuhusu Taarifa zetu Binafsi.
 
Back
Top Bottom