secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Yes, wale ambao wakipita mbele yako lazima uimbe, "singida, Dodoma... 🎵🎶Bila kusahau wenye makebo makubwa
Yes, wale ambao wakipita mbele yako lazima uimbe, "singida, Dodoma... 🎵🎶Bila kusahau wenye makebo makubwa
LabdaAu jamaa amepata namba ya mtoa mada kwenye tangazo la uganga yale yanayoandikwa kwenye nguzo za umeme
Na weweWewe na nani?
OkayNa wewe
Swadakta au kushoto kulia 😂Yes, wale ambao wakipita mbele yako lazima uimbe, "singida, Dodoma... 🎵🎶
Kushoto kulia haina swaga.Swadakta au kushoto kulia 😂