secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Yes, wale ambao wakipita mbele yako lazima uimbe, "singida, Dodoma... π΅πΆBila kusahau wenye makebo makubwa
LabdaAu jamaa amepata namba ya mtoa mada kwenye tangazo la uganga yale yanayoandikwa kwenye nguzo za umeme
Na weweWewe na nani?
OkayNa wewe
Swadakta au kushoto kulia πYes, wale ambao wakipita mbele yako lazima uimbe, "singida, Dodoma... π΅πΆ
Kushoto kulia haina swaga.Swadakta au kushoto kulia π