Hivi humu JF hamna wachawi?

Aisee mbona hata majini ya mapepe wachafu wapo haswaaa uko pm
 
Lete jina sasa la baba na lamama usisahau uone km hawatokufanyia kazi
 
sasa watamroga baba,mama au mimi??

Ww taja jina lako nalamzee wako haswa la mama na lako alafu uwone watakavokufanya πŸ˜›πŸ˜› maana mchawi anaroga mtu hata sababu hana sasa ww unayo wataka urogwe haya yamwage hayo majina
 
Ww taja jina lako nalamzee wako haswa la mama na lako alafu uwone watakavokufanya πŸ˜›πŸ˜› maana mchawi anaroga mtu hata sababu hana sasa ww unayo wataka urogwe haya yamwage hayo majina

basi wachawi hamna kitu,nipo kigoma toka sept kuna mzee alinambia "nitakuonesha' na hanijui jina langu achilia mbali baba na mama!
 
Wanakuwepo. Mi nnaemjua ni yule Likud mana kwenye uzi wake flani amesema amemuondoa kaka ake kichawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…