Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachawi tumo!+Kuna thread moja nimeona inadai JF sasa tuko 195,958!hivi humu wanakosekana wachawi?hebu waniroge nijue kama wapo!
Wapi huko mkuu?humu inaonesha hamna kitu!Aisee mbona hata majini ya mapepe wachafu wapo haswaaa uko pm
Madai yako ukinifahamu ndo iweje??Mchawi harogi asie mjua.
mmhhhhhh!!!!!Huyu ni mzito kabwela wa kigoma.
:focus:ulaaniwe ktk jina la yesu badala ya kuuliza waliompokea yesu unauliza wachawi
umerogwa???daaah!kweli jf burudani!!!!!
mmhhhhhh!!Wachawi wamo humu, kwani wabunge, wakurugenzi siyo mamember humu???
sasa watamroga baba,mama au mimi??Lete jina sasa la baba na lamama usisahau uone km hawatokufanyia kazi
sasa watamroga baba,mama au mimi??
Ww taja jina lako nalamzee wako haswa la mama na lako alafu uwone watakavokufanya 😛😛 maana mchawi anaroga mtu hata sababu hana sasa ww unayo wataka urogwe haya yamwage hayo majina
Wanakuwepo. Mi nnaemjua ni yule Likud mana kwenye uzi wake flani amesema amemuondoa kaka ake kichawi.
Waongo hao,mi' siyo mchawi
Wachawi tumo!+