Slave
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 5,313
- 2,646
MziziMkavu Na mshana jr ni waalimu wa uchawi ila sio wachawi hope wanafunzi wao wapo humu ngoja waje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JINSI MCHAWI ANAVYOMWITA JINI NA KUMTUMIA~1Kuna thread moja nimeona inadai JF sasa tuko 195,958!hivi humu wanakosekana wachawi?hebu waniroge nijue kama wapo!
JINSI MCHAWI ANAVYOMWITA JINI NA KUMTUMIA~1
View attachment 367426
NJIA YA UANGALIZI
Hii pia ni miongoni mwa njia wanazotumia wachawi hawa katika kumuita kafiri mwenzao wa kijijini na kumtumia katika shugli zao za kiuchawi na kuwasababishia matatizo binadamu wenzao au hata wanyama mbalimbali wa kufugwa bila sababu yoyote ya msingi.
katika njia hii mchawi ambaye anataka kumuita jinni huyu aliyehasi amri za mola wake ni lazima avizie iwe usiku sana nyakati za giza, hutafuta sehemu nzuri ambayo ataweza kuziona nyota angani kisha hukaa hapo huku akiangalia nyota fulani na kuisubiri itokeze angani.
Ikishatokeza nyota hii huinuka mchawi huyu na huanza kuiomba kwa visomo na maneno ya kichawi halafu anaanza kusoma tarasimu yenye maneno mazito ya kichawi na kuwaita majini waje kumtumikia,hakika maneno haya wanayoyasema ni mazito mno yasiyoweza kuandikika au kusemwa hadharani na mtu mwenye kumuogopa muumba wake.
Baada ya hapo anafanya harakati fulani kwa kupeleka mikono yake juu na kuishusha chini[kama anavuta kitu]mwenyewe anadai anateremsha pepo wa nyota iyo lakini kwa hakika hii ni ibada anayoifanya kuiabudu nyota hii badala ya mungu hata kama mchawi huyo alipofundishwa njia hiyo hakuambiwa hayo.
Basi kinachofuata hapo ni kuwa Mashetani yanaitikia amri ya mchawi huyu aliyelaaniwa baada ya kuona na kupenda harakati zake anazozifanya kumkufuru mungu na kuliongezea idadi jeshi la Ibilisi,na wanamfanyia kile kitu chake alichotia nia kukifanya huku yeye anaamini kuwa ile nyota ndiyo iliyomsaidia.
View attachment 367427
Nyota hii ambayo imesingiziwa uongo huu maskini huwa haijui kitu chochote kinachoendelea hapo bali ni maujanja tuu ya shetani katika kumzuga binadamu na kumtia dhambini.
Wachawi wenyewe wanaamini kuwa ukiwa umerogwa uchawi anaotumiwa jini wa namna hii,hauwezi kupona mpaka uaguliwe ndani ya siku ambayo nyota hiyo itaonekana tena na kuna nyota ambazo zenyewe kwa mwaka hutokea mara moja tuu,yaani uisubiri ile nyota tena na ikitokeza uiombe ikufungulie uchawi uliorogwa kwa kutumia jini wa njia hii.
Lakini ukweli ni kwamba hakika wayafanyayo wachawi ni vitimbi tuu mbele ya mkuu na mmiliki wa viumbe vyote, kwani kwa wale ambao tunatibu kwa kutumia kurani tunaibatilisha na kumtibu mtu mwenye matatizo haya mara moja Inshaa Allah. Tutaendelea baadae nina logg off...
Ukiwa na Shida yoyote ile Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji144] [emoji2] [emoji2]Cc; Prof mshana jr
me simoooHuyu ni mzito kabwela wa kigoma.
mmhNikuroge ili iweje?
Halafu na wewe unapoteza muda wako kuisoma na kuchangia si bora ungeipotezea tuuwenzetu wanajadili space mission humu jf mtu unaanzisha thread za kichawi,bora ungekaa kimya tu,
Ila hii sio yangu! Ila na wewe ndugu yangu unajuaje kama muda wote usiku niko online? Basi ujue tuko pamoja [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatulaliWe mshana utakuwa mwanga kila siku na mada zako hizi za kichawi, afu sijui hata kama unalala usiku mda wote upo online
Vipi.
Ukiwa sio mcha Mungu ukisoma kisomo cha Rukya Jini au Shetani hawezi kuondoka katika mwili wa Binadamu kwani hicho kisomo cha Rukya kina masharti yake Maalum.Safi sana mkuu, je? Kuna kisomo cha rukya cha halali Na cha batili? Inasemekana kunawengine wanasoma rukya huku wakimshirikisha muumba kwa njia isiyo halali
WatajeWachawi wamo humu, kwani wabunge, wakurugenzi siyo mamember humu???
We jamaa!!Huyu ni mzito kabwela wa kigoma.
Aje tucc Kiranga njoo utoe advice huku