Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,869
- Thread starter
- #61
katavi si ndo kule kule?Hahahahaaah.....ID yangu inaelekea kivipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
katavi si ndo kule kule?Hahahahaaah.....ID yangu inaelekea kivipi?
nani huyo mkuu?Kuna yule alisema, atakayemgusa, atamaliza hata sisimizi wa nyumbani kwao.
Subiri waje jamaa zangu wa sumbawanga wahamishe nyeti zako halafu ndo utakuja kuomba radhi hapa,.. chezea wachawi wewe!
basi uchawi wako mdogo sana,yaani hadi nikutajie majina?Taja ukoo wako jina lako na la baba yako tukutumie meseji ujue uchawi kama upo!!!
nani huyo mkuu?
katavi si ndo kule kule?
Yesu mwenyewe alirogwa na shetaniMie nina YESU wangu;
Hayo makitu siyajuagi kabisa.
mstue mmoja tupimane uwezo mkuuWapo wengi tu humu
Yesu mwenyewe alirogwa na shetani
jamani!si alimroga yuda akamsaliti?si kweli kama lusifa anawashndwa waliosimama kwa imani kwa jina la yesu...aliwezaje kumloga yesu mwenyewe? Leta maandiko nnalojua yesu alijaribiwa na shetani
jamani!si alimroga yuda akamsaliti?
we taja tuu nim pm aniroge
sawa mkuuntakutajia pm
Huyu jamaa anaonekana hayuko sawa kiakiliWANAKUJA...
![]()
Nimehadithiwa na wazee Wa kitaaumejuaje?
teh tehNimehadithiwa na wazee Wa kitaa