Hivi humu JF hamna wachawi?

Hivi humu JF hamna wachawi?

Subiri waje jamaa zangu wa sumbawanga wahamishe nyeti zako halafu ndo utakuja kuomba radhi hapa,.. chezea wachawi wewe!

Tutake radhi kijana/mzee, kabla hatujakubadili jinsia....
 
Yesu mwenyewe alirogwa na shetani

si kweli kama lusifa anawashndwa waliosimama kwa imani kwa jina la yesu...aliwezaje kumloga yesu mwenyewe? Leta maandiko nnalojua yesu alijaribiwa na shetani
 
WANAKUJA...
558381_10151363566067482_1765795223_n+%281%29.jpg
Huyu jamaa anaonekana hayuko sawa kiakili
 
Aiseee wajee na mie nione watakavyokurogaaa
 
Jamaa zangu wa sumbawanga mpo wapi mbona huyu jamaa anajigamba sana humu?, nyofoeni nyeti zake arudi hapa analia
 
Back
Top Bottom