Hivi humu JF kuna aliyeishia la 7 kweli?

Hivi humu JF kuna aliyeishia la 7 kweli?

Deportivo la coruna

Senior Member
Joined
Aug 16, 2021
Posts
141
Reaction score
248
Hata tweeter sio hivyo aisee, yaani ukiona handle za watu humu ndani na Jinsi wanavyoandika thread [emoji3468] zao utawadhania ni moboss wakurugenzi wa makampuni flani!

Juzi si nmekutana na dada mmoja hivi wa humu JF [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani Kwa hapa JF anaheshimika sana watu wanamchukulia kama mtu mzito sana, mixer vingereza vingi. Juzi nmeomba kumeet nae aisee, ni kachoka mbaya na kazi anayofanya ni aibu aisee ngoja niishie hapa.

Hapa JF haitakiwi kua serious sana, wengi humu wanaingia kama kuigiza tuu.
 
Hata tweeter sio hivyo aisee, Yan ukiona handle za watu humu ndani na Jinsi wanavyoandika thread [emoji3468] zao utawadhania ni moboss wakurugenzi wa makampuni flani!

Juzi SI nmekutana na dada mmoja hivi wa humu jf [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yani Kwa hapa jf anaheshimika sana watu wanamchukulia kama mtu mzito sana, mixer vingereza vingi! Juzi nmeomba kumeet nae aisee, ni kachoka mbaya na kazi anayofanya ni aibu aisee ngoja niishie hapa

Hapa jf haitakiwi kua serious sana, weng humu wanaingia kama kuigiza tuu


Wewe umeishia chekechea, hebu angalia hiyo "heading" ya huu uzi wako ulivyoiandika. Sijui ulikuwa unaharakia kunyandua.🤣
 
Back
Top Bottom