Hivi humu JF kuna aliyeishia la 7 kweli?

Deportivo la coruna

Senior Member
Joined
Aug 16, 2021
Posts
141
Reaction score
248
Hata tweeter sio hivyo aisee, yaani ukiona handle za watu humu ndani na Jinsi wanavyoandika thread [emoji3468] zao utawadhania ni moboss wakurugenzi wa makampuni flani!

Juzi si nmekutana na dada mmoja hivi wa humu JF [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani Kwa hapa JF anaheshimika sana watu wanamchukulia kama mtu mzito sana, mixer vingereza vingi. Juzi nmeomba kumeet nae aisee, ni kachoka mbaya na kazi anayofanya ni aibu aisee ngoja niishie hapa.

Hapa JF haitakiwi kua serious sana, wengi humu wanaingia kama kuigiza tuu.
 


Wewe umeishia chekechea, hebu angalia hiyo "heading" ya huu uzi wako ulivyoiandika. Sijui ulikuwa unaharakia kunyandua.🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…