Hivi humu JF kuna aliyeishia la 7 kweli?

Ambao hatukufika hata la saba nao tupo wengi wengi tu. Kwani nyie mliofika mpaka vyuo vikuu mkatunukiwa shahada za uzamivu mnataka kutuambia nini sisi ambao hata la saba hatukufika?
 
Mimi nimeishia darasa la tatu tu
 
Darasa la 7 mbona mbali sana mkuu? Tupo tulioishia darasa la4 wengi tu hamtutambui au tutumie lugha&uandishi mbovu ndipo mtutambue?

HATASISIPIANIWATUJAMANIKWANINIMNATUTENGAHIVYO?
AMAMNATAKAHUMUMUBAKIPEKEYENU JAMIIFORAMU? TUONEENIHURUMANASISITUNAIPENDAMITANDAO HATAKAMAHATUJASOMASANAKAMANYIEMABOSIZETU[emoji26].

[emoji23][emoji23]
 
Aisee.....
 
Eeeh tupo wengi mno.
 
Wewe utakua ni mvulana,huna sifa ya kuitwa mwanaume,

Mwanaume anayejielewa hawezi kukutana na mdada wa JF nje ya JF kisha akakimbilia JF kuja kuanzisha Thd ya kumponda,usimuhukumu mtu kwa kukutana nae mara moja tu,

Gentleman never kiss and tell.
 
Ukiandika message ya kingereza wanakuja kama wote mpaka PM wengine wanaponda wengine wanaomba watafsiriwe. .
La saba ni wengi sana. Mmoja Kani text "LIVE ME ALONE I DOESN'T AGREE YOU JOCKING"🤣🤣🤣 Nimecheka mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…