Hivi humu JF kuna aliyeishia la 7 kweli?

Hivi humu JF kuna aliyeishia la 7 kweli?

Hata tweeter sio hivyo aisee, yaani ukiona handle za watu humu ndani na Jinsi wanavyoandika thread [emoji3468] zao utawadhania ni moboss wakurugenzi wa makampuni flani!

Juzi si nmekutana na dada mmoja hivi wa humu JF [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani Kwa hapa JF anaheshimika sana watu wanamchukulia kama mtu mzito sana, mixer vingereza vingi. Juzi nmeomba kumeet nae aisee, ni kachoka mbaya na kazi anayofanya ni aibu aisee ngoja niishie hapa.

Hapa JF haitakiwi kua serious sana, wengi humu wanaingia kama kuigiza tuu.
Kazi ya aibu ni ipi??? Usidharau kazi ya mtu kama hajawahi kukuomba chochote ...wale darasa la saba wenzangu..kazi iendeleee.....don't be ashamed with your hustle nobody will feed you when you're hungry
 
Humu Kila Mtu ni Degree Holder wa Chuo kikubwa hapa Nchini.
Sio kweli, tupo wengine hata shule hatujuwi milango yake inatazama upande gani. Ila Kwa mtazamo wangu uwezo wa mtu wa kufikiri, busara hekima na kutoa hoja havitokani na elimu. Ni vile kipaji unachopewa na Mungu, ingawa elimu husaidia kuboresha kipaji hicho.
Hivyo basi mwenye kipaji hata asipoenda shule kipaji atabaki nacho na kitaonekana kwenye jamii.
 
Kazi ya aibu ni ipi??? Usidharau kazi ya mtu kama hajawahi kukuomba chochote ...wale darasa la saba wenzangu....don't be ashamed with your hustle nobody will feed you when you're hungry
nakazia.... wanaochukulia baadhi ya kazi kua za 'aibu' wanajicheleweshea mafanikio yao wenyewe
 
Ukiandika message ya kingereza wanakuja kama wote mpaka PM wengine wanaponda wengine wanaomba watafsiriwe. .
La saba ni wengi sana. Mmoja Kani text "LIVE ME ALONE I DOESN'T AGREE YOU JOCKING"[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimecheka mbaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi wee roho kwatuuu?
Mchaga una sifa weyee khaaaah
 
Na kuna wanawake humu wanajiona wanakomenti vizuri, sijui kujiona wana status humu JF, mbaya zaidi kuna wanaume wengine humu wamkaa kishoga uzi ukipostiwa na mwanamke basi yanakuwa kama majibwa koko.

Nikiri kuna Dada mmoja tulifahamiana inbox, tukawa tunachat watsap pia tukachati mida mrefu huku nikiamini utelezi sikosi.

Si akatuma picha zake, na akashare akaunt yake ya IG na mimi nikampa Yangu ya IG

Mtumeeeeee!!!!!

tubakie hivhivi anonymous
Kuna nini hukooo nje ya JF?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata tweeter sio hivyo aisee, yaani ukiona handle za watu humu ndani na Jinsi wanavyoandika thread [emoji3468] zao utawadhania ni moboss wakurugenzi wa makampuni flani!

Juzi si nmekutana na dada mmoja hivi wa humu JF [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani Kwa hapa JF anaheshimika sana watu wanamchukulia kama mtu mzito sana, mixer vingereza vingi. Juzi nmeomba kumeet nae aisee, ni kachoka mbaya na kazi anayofanya ni aibu aisee ngoja niishie hapa.

Hapa JF haitakiwi kua serious sana, wengi humu wanaingia kama kuigiza tuu.
Tittle na Uzi haviendani
 
Back
Top Bottom