Hivi humu JF kuna aliyeishia la 7 kweli?

raha yake nini kwa mfano....
Kwanza baraka pia ni wafariji sana wansaidia kuwahasisha wazazi kwenye utafutaji yaani nimewaza nisingezaliwa huenda mzee angekuwa zake anakula Bata tu

Wanapunguza upweke kama mm nachat na watu wa jf had saa8 ningekuwa ninashughuli zingine za kufanya majukumu kwaajili ya mwanangu
 
dah, mimi najiona mzigo sana kwa mama yangu😂 ila usijali utabarikiwa inaonekana una shauku kwelikweli
 
Hata tweeter sio hivyo aisee, yaani ukiona handle za watu humu ndani na Jinsi wanavyoandika thread [emoji3468] zao utawadhania ni moboss wakurugenzi wa makampuni flani!

Juzi si nmekutana na dada mmoja hivi wa humu JF [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani Kwa hapa JF anaheshimika sana watu wanamchukulia kama mtu mzito sana, mixer vingereza vingi. Juzi nmeomba kumeet nae aisee, ni kachoka mbaya na kazi anayofanya ni aibu aisee ngoja niishie hapa.

Hapa JF haitakiwi kua serious sana, wengi humu wanaingia kama kuigiza tuu.

Hakuna kazi yoyote halali iwe ya aibu. Ni fikra potofu tuu
 
Hata tweeter sio hivyo aisee, yaani ukiona handle za watu humu ndani na Jinsi wanavyoandika thread [emoji3468] zao utawadhania ni moboss wakurugenzi wa makampuni flani!

Juzi si nmekutana na dada mmoja hivi wa humu JF [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani Kwa hapa JF anaheshimika sana watu wanamchukulia kama mtu mzito sana, mixer vingereza vingi. Juzi nmeomba kumeet nae aisee, ni kachoka mbaya na kazi anayofanya ni aibu aisee ngoja niishie hapa.

Hapa JF haitakiwi kua serious sana, wengi humu wanaingia kama kuigiza tuu.
Tupo Hadi wa darasa la pili C

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom