Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,808
- 6,934
[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Uliowataja hapo tu sio wengi, sio kila mtu yuko nje wengi wako Bongo ila usijisikie vibaya mtu akisema yuko nje, wabongo wametapakaa duniani kote.Faiza yupo Canada,diaspora yupo USA wengine Dubai ,wengine wanaishi kwenye yatch huko bahamas ,wengine South Africa,wengine wamezamia canada..
Halafu sasa ukija kwenye vyuo hamna aliesomea bongo(kasoro wale Wa Uzi Wa masihara) wengine wote wamesoma UK,Russia,states,India,Netherlands
Mpaka daah nahisi mimi tu sijatia.guu nje ya nchi au Jf kwenye playstore ya bongo haipatikani??
Karbu sana ila ukija njoo na Mwenza wako ili kuepusha vishawishiSawa Mr Bonny!!
Nikaribishe basi jamani daslam na mimi nioshe nyota
Vigezo na masharti kuzingatiwa!Karbu sana ila ukija njoo na Mwenza wako ili kuepusha vishawishi
Andaa passport tuzamie meli.
Mtwara- mtimbwilimbwi kuna kamtaa kanaitwa Italy, ni sawa na wilaya ya Karatu kuna mtaa unaitwa Bankok, ni kama temeke Sudan au kinondoni Morocco.
Toka lini
WeweMtwara- mtimbwilimbwi kuna kamtaa kanaitwa Italy, ni sawa na wilaya ya Karatu kuna mtaa unaitwa Bankok, ni kama temeke Sudan au kinondoni Morocco.
Sawa, your request is my command Princess, ngoja nikuje pande hiyo, tuufunge huu mwaka.Wewe
Njoo tufunge mwaka hebu
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Sawa, your request is my command Princess, ngoja nikuje pande hiyo, tuufunge huu mwaka.
HahahahaMkuu we utafia bongo, wenzako wamekata tamaa wameamua kwenda nje kimawazo!!
Okey...![emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Fanya kukuja upesi dear!