Hivi huu mwezi ukilipuliwa , mabaki yake yataangukia huku Duniani?

Curiosity kama yako ndio imeleta gunduzi nyingi, ila wabongo wanajifanya wanaakili sana hapa wanakwambia uache bangi.

Hata waliowaza kua binadamu anaweza kupaa angani walionekana wamechanganyikiwa less than 5 years later ndege zikagunduliwa.

Wabongo ujuaji mwngi ila hamna kitu.
 
Madhara:
-Hakutakuwa na kupatwa kwa mwezi, Jua na Dunia
-waislamu Hawatafunga Ramadhan kwa utulivu
-kutatokea Kupwa na Kujaa kwa Bahari
-Wanawake hawatoenda mwezini (astronomist😭😭?/)
 
Nimekaa nikawaza hapa , hizi kombora za nyuklia wanazomiliki mataifa makubwa ,wakazitumia kuulipua mwezi

Je mapande yake yataangukia huku duniani ?

Au ikatokea umelipuka wote , mabaki yatabaki huko angani yakielea?

Nawasilisha.

View attachment 3262502
Anga halina juu wala chini.
Ukiripuka vipande vyake vitasambaa katika mfumo wa orbit yake.
Kipande kitakachopenya kuangukia duniani, saazingine kisifike kwa kuteketea kwa msuguano.
Kama hujaelewa nambie niingie darasani nitoe somo ili kujibu maswali yako.
 
Nimekaa nikawaza hapa , hizi kombora za nyuklia wanazomiliki mataifa makubwa ,wakazitumia kuulipua mwezi

Je mapande yake yataangukia huku duniani ?

Au ikatokea umelipuka wote , mabaki yatabaki huko angani yakielea?

Nawasilisha.

View attachment 3262502
Vipande vya mwezi vitaizunguka dunia kama satellite ila havitaanguka duniani na hata vikijaribu kupenya duniani vitaungua kwasababu ya friction.
 
Nimekuelewa kaka mkubwa hqpa📌📍🔨
 
Curiosity kama yako ndio imeleta gunduzi nyingi, ila wabongo wanajifanya wanaakili sana hapa wanakwambia uache bangi.

Hata waliowaza kua binadamu anaweza kupaa angani walionekana wamechanganyikiwa less than 5 years later ndege zikagunduliwa.

Wabongo ujuaji mwngi ila hamna kitu.
Kabisa ... nimekaa nimewaza hapa ndio nikaleta hii mada humu
 
Back
Top Bottom