Hivi huu upuuzi kwenye kazi za ofisini utaisha lini?

Acha kushindana na boss wako mkuu utaumia
 
Utaisha siku ukiacha kazi 😁😁
 
Mchape mangumi mtaani kwa kumvizia na akija job kukuwajibisha unamkana
 
Tajaaa.... tena hapa hapa kwenye uzi nimekuruhusu asilimia mia. Narudia tena kwa herufi kubwa yenye msisitizo mkali "TAJA".
 
Waswahili wanakera sana yani ngozi ya tako bloody fools. Mtu anaishi maisha yake unaanza kumuona anaringa mara jealousy zinaanza aisee ni vile tu bongo hamna bastola ila tungemalizana sana.
Kabisa aisee ingekuwa miguu ya kuku kibongo bingo inapatikana kiholela kama south unamlima tu mbil za kiuno atembelee mgongo maisha yake yote.
 
Ni watu wachache watakuelewa, ili uweze kufanya kazi na wabongo inabidi uwe mnafiki sana, ujipendekeze na ujikombe to the maximum, nidhamu ya uoga, ujikombe haswa.

Ukiwa ni mtu mwenye msimamo thabiti, ukiwa bize na mambo yako, kuto entertain umbeya, majungu, mzaha, mwenye kujiamini, hakika utapigwa vita sana sababu utakuwa huendani nao na watakuona una dharau, kiburi ilhali uhalisia ni una msimamo thabiti usioyumbishwa.

Binafsi nimeacha kazi sehemu mbili tofauti tena nikiwa na position kubwa tu (managerial level), always sipo tayari kuharibu career na reputation nilojenga for years with a lot of sacrifices.

Kazini kuna politics zaidi ya hizi mnazoona za wanasiasa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…