Hivi huu upuuzi kwenye kazi za ofisini utaisha lini?

Mabosi wenye wivu, fitina, chuki, hila, n.k ndo walivyo! Yeye anadhani akiwa boss ndo atetemekewe na kila mtu! Mxiuuuh! Hao ni malofa! Ishi maisha yako mwamba ili mradi unatimiza vizuri majukumu ya ajira yako
Ni wale waliopewa nyadhfa bila sifa: hutamani wenye uwezo waondoke karibu yake
 
Bojour wazeeee!

Watu wengine makomwe sana.

Sawa pombe nakunywa ila ni baada ya kazi na kesho on time nimefika jitu linaenda kwenye uongozi wa juu kutangaza aaaah jamaa mitungi saaana wakati sijawahi kufika job nimelewa. au kunywa muda wa kazi. Na uchafuzi wake huu lengo nifukuzwa kazi. Huu ni uchawi grade one na uchawi hauendi kwa mentali(In profesa Jay's voice)

Jitu linanitangaza na kunichafua hivyo wakati nalo usiku tunakutana viwanja ila mi nakuwa na kampani yangu yeye anakula mpweke roho inamuuma kisa ni bosi na hana company alafu mimi surbodnate tu kampani kibao na Ina watu wenye uwezo kuniliko kwahiyo meza yetu huwa nachafukaa balaaaa mavinyaj ya gharama nikiingia viwanja Mimi ni alwatan kuliko yeye.

Nikaona isiwe shida labda kampani yangu inamtisha boss nikawa nahama viwanja mradi tu nisiende pale anapopapenda lakini anauliza watu jamaa Jana alikuwa ananywea wapi mtungi mradi tu anifatilie maisha yangu ya nje ya kazi

Imefika hatua hata kama kuna safari zenye viposho vya hapa na pale jamaa yuko radhi watu wengine waende hata mara nne nne tena ambao kiuwezo na uwajibikaji nimewazidi vizuri hapo Mimi sijaenda hata safari moja(Nazungumzia safari za mikoani maana ndiyo zina posho kubwa) lakini Mimi nauchuna tu kama vile sioni na sijawahi kuhoji Wala nini. I'm just living my life.

Ila hanipati hata kidogo namchora tu mbaya zaidi ni kijana yuko early 40s wala sio mzee ila ana uzee mwingi.

Jana blue monday jioni flani tulivu baada ya kusign out job kanikuta site nafunga king'amuzi cha VALEUR kubwa pembeni na pisi kadhaa kanikata jicha kali sana Mimi ndiyo kwaaaanza namwita mtu wa jikoni alete mdudu kilo mbili na limao za kucheba.

Wewe ni bosi ofisini tuu. Huku mtaani na sisi ni ma Alwattan vilevile a.k.a SENIOR KONTAWA OF THE STREAT.

Stay Tuned Boss. Unapopita napaona.
Wewe na boss wako wazanaki wanasema mafikanyanga. Bure kabisa. Umesahau kanuni muhim sana ya maisha. Don't outshine your boss. Na pia jifunze unyenyekevu utafika mbali sana.
 
Tatizo la wabongo tumezoea kufanya kazi kama punda na kupeana pressure kibao siziso na ulazima eti ndo tunaonekana wachapa kazi.

Huo ni ulimbukeni mwamba. Kuna maisha baada ya kazi kikubwa utimiza majukumu yako ya kazi ipasavyo(iheshimu kazi), then furahia maisha.
The point of efficiency passed right over your head, didn't it?

Unahisi kwa wazungu ndio utaingia kazini na kuanza kuzungumzia ya bar jana?
 
Wewe na boss wako wazanaki wanasema mafikanyanga. Bure kabisa. Umesahau kanuni muhim sana ya maisha. Don't outshine your boss. Na pia jifunze unyenyekevu utafika mbali sana.
48 LAWS OF POWER nimesoma zote hiyo uliyoitaja hapo kuna mazingira yake ya kuiapply ila sio kwa huyu.
 
Bojour wazeeee!

Watu wengine makomwe sana.

Sawa pombe nakunywa ila ni baada ya kazi na kesho on time nimefika jitu linaenda kwenye uongozi wa juu kutangaza aaaah jamaa mitungi saaana wakati sijawahi kufika job nimelewa. au kunywa muda wa kazi. Na uchafuzi wake huu lengo nifukuzwa kazi. Huu ni uchawi grade one na uchawi hauendi kwa mentali(In profesa Jay's voice)

Jitu linanitangaza na kunichafua hivyo wakati nalo usiku tunakutana viwanja ila mi nakuwa na kampani yangu yeye anakula mpweke roho inamuuma kisa ni bosi na hana company alafu mimi surbodnate tu kampani kibao na Ina watu wenye uwezo kuniliko kwahiyo meza yetu huwa nachafukaa balaaaa mavinyaj ya gharama nikiingia viwanja Mimi ni alwatan kuliko yeye.

Nikaona isiwe shida labda kampani yangu inamtisha boss nikawa nahama viwanja mradi tu nisiende pale anapopapenda lakini anauliza watu jamaa Jana alikuwa ananywea wapi mtungi mradi tu anifatilie maisha yangu ya nje ya kazi

Imefika hatua hata kama kuna safari zenye viposho vya hapa na pale jamaa yuko radhi watu wengine waende hata mara nne nne tena ambao kiuwezo na uwajibikaji nimewazidi vizuri hapo Mimi sijaenda hata safari moja(Nazungumzia safari za mikoani maana ndiyo zina posho kubwa) lakini Mimi nauchuna tu kama vile sioni na sijawahi kuhoji Wala nini. I'm just living my life.

Ila hanipati hata kidogo namchora tu mbaya zaidi ni kijana yuko early 40s wala sio mzee ila ana uzee mwingi.

Jana blue monday jioni flani tulivu baada ya kusign out job kanikuta site nafunga king'amuzi cha VALEUR kubwa pembeni na pisi kadhaa kanikata jicha kali sana Mimi ndiyo kwaaaanza namwita mtu wa jikoni alete mdudu kilo mbili na limao za kucheba.

Wewe ni bosi ofisini tuu. Huku mtaani na sisi ni ma Alwattan vilevile a.k.a SENIOR KONTAWA OF THE STREAT.

Stay Tuned Boss. Unapopita napaona.
Du! Sio kwa michambo hiyo aisee! By the way, kumfukuza mtumishi wa umma kazi sio kazi ya lelemama.....lazima uwe na sababu nzito. Majungu tu hayamfukuzishi mtu kazi. Stay calm and enyoy your life mkuu.
 
Nakusoma tu kijana na hayo majivuno yako,ofisini unakuwaga mpole sana ila huku JF unatamba,
😂Kaka kama unanijua vile nakuwaga mpole sana kama mjinga vile huku nikichora tu rada za wanafiki na kupanga mikakati yangu madhubuti nawaepuka vipi hawa hayawani😂
 
Waswahili wanakera sana yani ngozi ya tako bloody fools. Mtu anaishi maisha yake unaanza kumuona anaringa mara jealousy zinaanza aisee ni vile tu bongo hamna bastola ila tungemalizana sana.
 
😂Kaka kama unanijua vile nakuwaga mpole sana kama mjinga vile huku nikichora tu rada za wanafiki na kupanga mikakati yangu madhubuti nawaepuka vipi hawa hayawani😂
Sio kama nakujua,ninakujua vizuri mazingira yako tu ya uelezaji yamenifanya nimekutambua na hukutegemea kama kuna mtu anaweza kukutanbua humu.Kama unabisha niambie nianze kutaja jina lako kisha ofisi unayofanyia kazi.Tena nakutaja humuhumu na watu wanashuhudia mtaalamu
 
Hahaha jamaa itabidi tuu akufate PM myajenge
 
Bojour wazeeee!

Watu wengine makomwe sana.

Sawa pombe nakunywa ila ni baada ya kazi na kesho on time nimefika jitu linaenda kwenye uongozi wa juu kutangaza aaaah jamaa mitungi saaana wakati sijawahi kufika job nimelewa. au kunywa muda wa kazi. Na uchafuzi wake huu lengo nifukuzwa kazi. Huu ni uchawi grade one na uchawi hauendi kwa mentali(In profesa Jay's voice)

Jitu linanitangaza na kunichafua hivyo wakati nalo usiku tunakutana viwanja ila mi nakuwa na kampani yangu yeye anakula mpweke roho inamuuma kisa ni bosi na hana company alafu mimi surbodnate tu kampani kibao na Ina watu wenye uwezo kuniliko kwahiyo meza yetu huwa nachafukaa balaaaa mavinyaj ya gharama nikiingia viwanja Mimi ni alwatan kuliko yeye.

Nikaona isiwe shida labda kampani yangu inamtisha boss nikawa nahama viwanja mradi tu nisiende pale anapopapenda lakini anauliza watu jamaa Jana alikuwa ananywea wapi mtungi mradi tu anifatilie maisha yangu ya nje ya kazi

Imefika hatua hata kama kuna safari zenye viposho vya hapa na pale jamaa yuko radhi watu wengine waende hata mara nne nne tena ambao kiuwezo na uwajibikaji nimewazidi vizuri hapo Mimi sijaenda hata safari moja(Nazungumzia safari za mikoani maana ndiyo zina posho kubwa) lakini Mimi nauchuna tu kama vile sioni na sijawahi kuhoji Wala nini. I'm just living my life.

Ila hanipati hata kidogo namchora tu mbaya zaidi ni kijana yuko early 40s wala sio mzee ila ana uzee mwingi.

Jana blue monday jioni flani tulivu baada ya kusign out job kanikuta site nafunga king'amuzi cha VALEUR kubwa pembeni na pisi kadhaa kanikata jicha kali sana Mimi ndiyo kwaaaanza namwita mtu wa jikoni alete mdudu kilo mbili na limao za kucheba.

Wewe ni bosi ofisini tuu. Huku mtaani na sisi ni ma Alwattan vilevile a.k.a SENIOR KONTAWA OF THE STREAT.

Stay Tuned Boss. Unapopita napaona.
Mgongeeni yai 🙂
 
Back
Top Bottom