dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Jamaa Yuko na Mambo ya kiswahili sna khaa eti ansema boss anamfatilia na. Kwamba yey ni alwatani mtaani"inamuuma kisa ni bosi na hana company alafu mimi surbodnate tu kampani kibao na Ina watu wenye uwezo kuniliko kwahiyo meza yetu huwa nachafukaa balaaaa mavinyaj ya gharama nikiingia viwanja Mimi ni alwatan kuliko yeye."
👆👆
Wewe mwenyewe una uswahili mwingi kuliko huyo boss wako.
Una kampani mbovu na bado unaiona nzuri kwako.