Hivi huu upuuzi kwenye kazi za ofisini utaisha lini?

"inamuuma kisa ni bosi na hana company alafu mimi surbodnate tu kampani kibao na Ina watu wenye uwezo kuniliko kwahiyo meza yetu huwa nachafukaa balaaaa mavinyaj ya gharama nikiingia viwanja Mimi ni alwatan kuliko yeye."

👆👆

Wewe mwenyewe una uswahili mwingi kuliko huyo boss wako.

Una kampani mbovu na bado unaiona nzuri kwako.
 
Ndicho ninachofanya mtungi napiga mbele yake nalala saa tisa usiku na kesho job anawahi ili akute nimechelewa apate sababu ya kusema nachelewa sababu ya mitungi na kulala saa tisa usiku lakini cha ajabu hata awahi vipi ananikuta nishafika kitambo napiga stori na mlinzi nilkiwasubiri wao wafike hapo ndo anapochoka sasa kwamba huyu jamaa ni jini au niaje.😂😂
😂 hiyo vita ulishaishinda mkuu huyo bosi mchawi sana.
 
"inamuuma kisa ni bosi na hana company alafu mimi surbodnate tu kampani kibao na Ina watu wenye uwezo kuniliko kwahiyo meza yetu huwa nachafukaa balaaaa mavinyaj ya gharama nikiingia viwanja Mimi ni alwatan kuliko yeye."

👆👆

Wewe mwenyewe una uswahili mwingi kuliko huyo boss wako.

Una kampani mbovu na bado unaiona nzuri kwako.
Hawa ni wale Waswahili fulani wenye inferiority complex kupenda social validation and approval. Kupenda kushindana aonekane ni bora kuliko bosi wake.

Ingekuwa ni mimi bosi pia nisinge kuacha is either me or you, I would spot and put you on the plate, ninge kula kichwa tu upeleke uswahili wako huko Mbagala Maji Matitu.
 
Katika kujiajiri, tumia watu wakutengenezee utajiri (ajiri); kama una duka, usikae wewe dukani, ajiri mtu, we kaa pembeni seti mitambo.
Ni sawa ila uwe na maono, mtu kama huyo anaependa matukio, sijui magroup ya marafiki unaona pana kichwa cha kufanya biashara hapo, hataweza kutofautisha mtaji na faida. Atatumia zote.
 
Hawa ni wale Waswahili fulani wenye inferiority complex kupenda social validation and approval. Kupenda kushindana aonekane ni bora kuliko bosi wake.

Ingekuwa ni mimi bosi pia nisinge kuacha is either me or you, I would spot and put you on the plate, ninge kula kichwa tu upeleke uswahili wako huko Mbagala Maji Matitu.
Nimejaribu kusoma andiko lake ila nimegundua boss ana afadhali na anamuhurumia dogo
 
Hawa ni wale Waswahili fulani wenye inferiority complex kupenda social validation and approval. Kupenda kushindana aonekane ni bora kuliko bosi wake.

Ingekuwa ni mimi bosi pia nisinge kuacha is either me or you, I would spot and put you on the plate, ninge kula kichwa tu upeleke uswahili wako huko Mbagala Maji Matitu.
Umekuza mambo.
Ninyi ndio watu wa kujistukia na kuona kama mtu akifanya kitu anashindana na wewe.
Jamaa amefanya starehe zake kwa raha zake hakuweka ushindani na mtu.
Uache uswahili badala ya kumwambia mwenzako mswahili.
 
"inamuuma kisa ni bosi na hana company alafu mimi surbodnate tu kampani kibao na Ina watu wenye uwezo kuniliko kwahiyo meza yetu huwa nachafukaa balaaaa mavinyaj ya gharama nikiingia viwanja Mimi ni alwatan kuliko yeye."

👆👆

Wewe mwenyewe una uswahili mwingi kuliko huyo boss wako.

Una kampani mbovu na bado unaiona nzuri kwako.
Hii kampani ubovubwake ni nini mzee kwamba tusiwe na marafiki nje ya kazi kisa kumgwaya bosi? Upuuzi gani huu unaongea mzee!!!
 
Umekuza mambo.
Ninyi ndio watu wa kujistukia na kuona kama mtu akifanya kitu anashindana na wewe.
Jamaa amefanya starehe zake kwa raha zake hakuweka ushindani na mtu.
Uache uswahili badala ya kumwambia mwenzako mswahili.
Soma vizuri uzi wake uelewe tatizo ulikimbia umande huko Maji Matitu.
 
Hawa ni wale Waswahili fulani wenye inferiority complex kupenda social validation and approval. Kupenda kushindana aonekane ni bora kuliko bosi wake.

Ingekuwa ni mimi bosi pia nisinge kuacha is either me or you, I would spot and put you on the plate, ninge kula kichwa tu upeleke uswahili wako huko Mbagala Maji Matitu.
Natamani ungekuwa bosi wangu ndo tungeoneshana sasa. Siwezi ruhusu eti kisa bosi ndiyo uathiri faragha zangu za nje neverrrrr
 
Usinge niweza mtu umemshindwa huyo bosi mstaarabu hivyo hadi unakuja kulia hapa wakati bosi haja mwambia mtu yeyote. Ungeniweza wapi.

By the way hatuja msikiliza bosi naye atoe yake ndio mwisho tu judge ila kwa kusoma tu ulichoandika wewe ni tatizo.
 
Bojour wazeeee.......!!!!

Watu wengine makomwe sana.....

Sawa pombe nakunywa ila ni baada ya kazi na kesho on time nimefika jitu linaenda kwenye uongozi wa juu kutangaza aaaah jamaa mitungi saaana wakati sijawahi kufika job nimelewa. au kunywa muda wa kazi. Na uchafuzi wake huu lengo nifukuzwa kazi. Huu ni uchawi grade one na uchawi hauendi kwa mentali(In profesa Jay's voice)

Jitu linanitangaza na kunichafua hivyo wakati nalo usiku tunakutana viwanja ila mi nakuwa na kampani yangu yeye anakula mpweke roho inamuuma kisa ni bosi na hana company alafu mimi surbodnate tu kampani kibao na Ina watu wenye uwezo kuniliko kwahiyo meza yetu huwa nachafukaa balaaaa mavinyaj ya gharama nikiingia viwanja Mimi ni alwatan kuliko yeye.

Nikaona isiwe shida labda kampani yangu inamtisha boss nikawa nahama viwanja mradi tu nisiende pale anapopapenda lakini anauliza watu jamaa Jana alikuwa ananywea wapi mtungi mradi tu anifatilie maisha yangu ya nje ya kazi

Imefika hatua hata kama kuna safari zenye viposho vya hapa na pale jamaa yuko radhi watu wengine waende hata mara nne nne tena ambao kiuwezo na uwajibikaji nimewazidi vizuri hapo Mimi sijaenda hata safari moja(Nazungumzia safari za mikoani maana ndiyo zina posho kubwa) lakini Mimi nauchuna tu kama vile sioni na sijawahi kuhoji Wala nini......I'm just living my life.

Ila hanipati hata kidogo namchora tu mbaya zaidi ni kijana yuko early 40s wala sio mzee ila ana uzee mwingi.

Jana blue monday jioni flani tulivu baada ya kusign out job kanikuta site nafunga king'amuzi cha VALEUR kubwa pembeni na pisi kadhaa kanikata jicha kali sana Mimi ndiyo kwaaaanza namwita mtu wa jikoni alete mdudu kilo mbili na limao za kucheba.

Wewe ni bosi ofisini tuu.... Huku mtaani na sisi ni ma Alwattan vilevile a.k.a SENIOR KONTAWA OF THE STREAT.

Stay Tuned Boss..... Unapopita napaona....
Kwa sifa ulizoainisha Boss wako atakuwa muha tu poleni sana, hapo kazi mnayo hadi Mungu atakapoingilia kati!!
 
Back
Top Bottom