Heheheeee!Wasalimie Mbagala Saku na Maji Matitu huko.
Nimethibitisha nilichokua nafikiria kukuhusu.
Nipo Morogoro Mafisa,Morogoro hakuna Mbagala kichwa wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heheheeee!Wasalimie Mbagala Saku na Maji Matitu huko.
Kwani Mafisa si uswahilini sawa na huko Maji Matitu. Unafikiri ungekuwa unakaa Kihonda Magorofani ungekuwa na uswahilini huo.Heheheeee!
Nimethibitisha nilichokua nafikiria kukuhusu.
Nipo Morogoro Mafisa,Morogoro hakuna Mbagala kichwa wewe.
Itakuwa yuko Mkoa huyu...Kwanza mnaliwaje eneo ambalo na boss analewa? Ndiyo bar pekee mtaani kwenu?
Tena wewe ndiyo ningekutingisha ajabu.. kumbe hata kusomea hujui mzee kwa aliyeelewa uzi kuna sehem bosi inafika hatua anauliza watu Jana nilikuwa napigia wapi mitungi. Sasa mpaka hapo hujajua anaemfuatilia mwenzie ni nani mzee? Acha utoto basi.Usinge niweza mtu umemshindwa huyo bosi mstaarabu hivyo hadi unakuja kulia hapa wakati bosi haja mwambia mtu yeyote. Ungeniweza wapi.
By the way hatuja msikiliza bosi naye atoe yake ndio mwisho tu judge ila kwa kusoma tu ulichoandika wewe ni tatizo.
Wewe ndio meanza ligi ya kushindana nae mara wewe una kampani yenye pesa watu wazito, acha akunyooshe hakuna namna nyingine.Tena wewe ndiyo ningekutingisha ajabu.. kumbe hata kusomea hujui mzee kwa aliyeelewa uzi kuna sehem bosi inafika hatua anauliza watu Jana nilikuwa napigia wapi mitungi. Sasa mpaka hapo hujajua anaemfuatilia mwenzie ni nani mzee? Acha utoto basi.
Nahisi una shida kifikra wewe jamaa,na hata kauli uzinenazo zinadhihirisha kuwa una ushamba mwingi sana aisee.Kwani Mafisa na si uswahilini sawa na huko Maji Matitu. Unafikiri ungekuwa unakaa Kihonda Magorofani ungekuwa na uswahilini huo.
Bojour wazeeee.......!!!!
Watu wengine makomwe sana.....
Sawa pombe nakunywa ila ni baada ya kazi na kesho on time nimefika jitu linaenda kwenye uongozi wa juu kutangaza aaaah jamaa mitungi saaana wakati sijawahi kufika job nimelewa. au kunywa muda wa kazi. Na uchafuzi wake huu lengo nifukuzwa kazi. Huu ni uchawi grade one na uchawi hauendi kwa mentali(In profesa Jay's voice)
Jitu linanitangaza na kunichafua hivyo wakati nalo usiku tunakutana viwanja ila mi nakuwa na kampani yangu yeye anakula mpweke roho inamuuma kisa ni bosi na hana company alafu mimi surbodnate tu kampani kibao na Ina watu wenye uwezo kuniliko kwahiyo meza yetu huwa nachafukaa balaaaa mavinyaj ya gharama nikiingia viwanja Mimi ni alwatan kuliko yeye.
Nikaona isiwe shida labda kampani yangu inamtisha boss nikawa nahama viwanja mradi tu nisiende pale anapopapenda lakini anauliza watu jamaa Jana alikuwa ananywea wapi mtungi mradi tu anifatilie maisha yangu ya nje ya kazi
Imefika hatua hata kama kuna safari zenye viposho vya hapa na pale jamaa yuko radhi watu wengine waende hata mara nne nne tena ambao kiuwezo na uwajibikaji nimewazidi vizuri hapo Mimi sijaenda hata safari moja(Nazungumzia safari za mikoani maana ndiyo zina posho kubwa) lakini Mimi nauchuna tu kama vile sioni na sijawahi kuhoji Wala nini......I'm just living my life.
Ila hanipati hata kidogo namchora tu mbaya zaidi ni kijana yuko early 40s wala sio mzee ila ana uzee mwingi.
Jana blue monday jioni flani tulivu baada ya kusign out job kanikuta site nafunga king'amuzi cha VALEUR kubwa pembeni na pisi kadhaa kanikata jicha kali sana Mimi ndiyo kwaaaanza namwita mtu wa jikoni alete mdudu kilo mbili na limao za kucheba.
Wewe ni bosi ofisini tuu.... Huku mtaani na sisi ni ma Alwattan vilevile a.k.a SENIOR KONTAWA OF THE STREAT.
Stay Tuned Boss..... Unapopita napaona....
Kwani kuna raia yeyote nchi hii ambaye haishi kwenye mkoa wowote ule kati ya mikoa mingi tuliyonayo Tanzania hii?Itakuwa yuko Mkoa huyu...
Kbsaa yaani yey ndio tatuzo na Kama anasema anamzid uwezo na uwajibikaji kwanin Basi asingeteuliwa yeye kuwa boss wao jamaa miyeyusho sna na dharau anayoWewe ndio meanza ligi ya kushindana nae mara wewe una kampani yenye pesa watu wazito, acha akunyooshe hakuna namna nyingine.
No way utacha kuathiriwa na mazingira yanayo kuzunguka. Wewe ni matokeo ya jamii uliyoishi na ndio maana wanasema nionyeshe rafiki zako ni kwambie tabia yako.Nahisi una shida kifikra wewe jamaa,na hata kauli uzinenazo zinadhihirisha kuwa una ushamba mwingi sana aisee.
Maisha popote pale unaweza ukakua kinamna ama misingi uitakayo wewe na kwa ustaarabu uutakao wewe,cha muhimu usiathiriwe na external environment.
😂😂kama nakuona vile na wewe ni bosi tena itakuwa bosi wa kituo uchwara cha mafuta. Ukikuta wafanyakazi wako wanakula bata unahisi kama wanaiba mafuta vile kumbe walaa... ni kujishtukia kwako tuWewe Ni mpuuzi sna unajimbwambafai na vinywaji vya Bei kubwa ,unakuwa mlevi na midemu mbele ya bos wako na ukiendelea HV utaamishwa ofc very soon
Safari huendi uatakula huu mshahara na mideminjuu inakusubiria
Kabisa mkuu acha endelee kulia nadhani akifutwa kazi na akili itasoma vizuri aone hiyo kampani yake kama itamtaka tena.Kbsaa yaani yey ndio tatuzo na Kama anasema anamzid uwezo na uwajibikaji kwanin Basi asingeteuliwa yeye kuwa boss wao jamaa miyeyusho sna na dharau anayo
Nimemueleza hvyo hvyoWe jamaa ni mpuuzi na una akili za kitoto
Acha uduwanzi wewe utaamishwa Kaz kwa uduwanzi wako😂😂kama nakuona vile na wewe ni bosi tena itakuwa bosi wa kituo uchwara cha mafuta. Ukikuta wafanyakazi wako wanakula bata unahisi kama wanaiba mafuta vile kumbe walaa... ni kujishtukia kwako tu
Hizo dharau zako ndio zina ku cost.😂😂kama nakuona vile na wewe ni bosi tena itakuwa bosi wa kituo uchwara cha mafuta. Ukikuta wafanyakazi wako wanakula bata unahisi kama wanaiba mafuta vile kumbe walaa... ni kujishtukia kwako tu
Sihitaji kujieleza ila jua kuwa una mawazo mgando na fikra za kishamba.No way utacha kuathiriwa na mazingira yanayo kuzunguka. Wewe ni matokeo ya jamii uliyoishi na ndio maana wanasema nionyeshe rafiki zako ni kwambie tabia yako.
Kwa hyo unajisifiaa kwa sababu ya kulewa na kuondoka saa Tisa za usku ,hunq watoto wewNdicho ninachofanya mtungi napiga mbele yake nalala saa tisa usiku na kesho job anawahi ili akute nimechelewa apate sababu ya kusema nachelewa sababu ya mitungi na kulala saa tisa usiku lakini cha ajabu hata awahi vipi ananikuta nishafika kitambo napiga stori na mlinzi nilkiwasubiri wao wafike hapo ndo anapochoka sasa kwamba huyu jamaa ni jini au niaje.😂😂
Jamaa anajiona Yuko sawa kbsaa"inamuuma kisa ni bosi na hana company alafu mimi surbodnate tu kampani kibao na Ina watu wenye uwezo kuniliko kwahiyo meza yetu huwa nachafukaa balaaaa mavinyaj ya gharama nikiingia viwanja Mimi ni alwatan kuliko yeye."
👆👆
Wewe mwenyewe una uswahili mwingi kuliko huyo boss wako.
Una kampani mbovu na bado unaiona nzuri kwako.
Zakuambiwa changanya na zako.Endelea kumponza siku si nyingi atafungua uzi mwingine wa matokeo ya kushindana. Angekuwa ameshinda asinge kuja kulia hapa.
That's very irrelevantSihitaji kujieleza ila jua kuwa una mawazo mgando na fikra za kishamba.
Kuathiriwa na mazingira utataka na utaruhusu wewe mwenyewe.
Fikra zako ni sawa na mzazi anayeona akimfungia geti kali binti yake hawezi kuliwa.