Hivi huu utititili wa makanisa una faida Gani wakati maovu ndo yanazidi kuwa mengi?

Mkungunero

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2023
Posts
401
Reaction score
569
Mi nilikili wingi wa makanisa uendane na kubadilisha tabia za waamini wao. Hebu fikiri hapa dar wizi, udokozi, ujambazi unaongeza daily na watu wanashinda makanisani, au kanisa ni fashion tu. I'm sure hata padre, askofu mchungaji akiipata fursa ya kuiba lazima aitumie kama ilivyokuwa kipindi Cha ascrow akina kilaini na euzebius.

Kwa Nini zanzibar hamna wizi kabisa au tuamini ukristo siyo dini ya mungu? Zanzibar ukidondosha hata wallet Ina pesa mtu anaokota anakurudishia au anatangaza radioni.

Nenda kule Arusha na moshi ambao ndo waasisi wa ukristo au ukristo ndo mwingi unaweza kuchinjwa mchana kweupe hasa wakikuona una hela mfukoni
 
Makanisa kama yanahubiri mema, hayaibii watu kwa kuuza mafuta na sabuni, yanahubiri wokovu, ni jambo jema yawe mengi kila mahali. ila kama yanaibia watu namna hiyo, siyaungi mkono.

unasema zanzibar hakuna wizi..., usifikiri wanaogopa kuiba, no, wanaogopa kulogwa au kusomewa albadili.
 
Mzee mbona madanguro, Maclub, vilabu vya pombe, guest houses, hotels, mabar, betting companies pia na misikiti nayo inaongezeka.
Alafu Zanzibar gani? Mbona Pwani kuna misikiti Mingi na wizi upo? Mbona Zanzibar huko ndio kunaongoza kwa ufiraji na ushoga?

Kwanini kila siku Kanisa tu? Tupumzisheni, tujadili hata issue za Bandari au lah, tuongelee uteuzi wa Maharage aliyeshindwa TANESCO akapelekwa TTCL.
 
Mi nilikili wingi wa makanisa uendane na kubadilisha tabia za waamini wao. Hebu fikiri hapa dar wizi, udokozi, ujambazi unaongeza daily na watu wanashinda makanisani, au kanisa ni fashion tu. I'm sure hata padre, askofu mchungaji akiipata fursa ya kuiba lazima aitumie kama ilivyokuwa kipindi Cha ascrow akina kilaini na euzebius.

Kwa Nini zanzibar hamna wizi kabisa au tuamini ukristo siyo dini ya mungu? Zanzibar ukidondosha hata wallet Ina pesa mtu anaokota anakurudishia au anatangaza radioni.

Nenda kule Arusha na moshi ambao ndo waasisi wa ukristo au ukristo ndo mwingi unaweza kuchinjwa mchana kweupe hasa wakikuona una hela mfukoni
Huyo huyo anayekuokotea hela yako akiishaikabidhi anaelekea kubandiliwa kinyume na maumbile. Kazi kweli
 
anasema zanzibar hakuna wizi kwasababu wizi ni dhambi, ila ulawiti na uchawi hajasema, pamoja na kwamba misikiti ipo kila mahali.
 
Kwahiyo Zanzibar hakuna wizi? Acheni uongo na kila mara kuchafua dini za watu. Sasa vipi kuhusu ulawiti, uchawi, ushoga nao haupo? Kuuchafua na kuusema ukristo kila mara sio kuuimarisha uislam.

Hii screen short ni ya wazanzibar wanaouchukia wizi huku wakiruhusu na kuhitaji kufirwa. Sasa si bora uibe kuliko kupigwa pipe?
 
Attachments

  • Screenshot_20230924_172644_Facebook.jpg
    Screenshot_20230924_172644_Facebook.jpg
    80.5 KB · Views: 1
Mi nilikili wingi wa makanisa uendane na kubadilisha tabia za waamini wao. Hebu fikiri hapa dar wizi, udokozi, ujambazi unaongeza daily na watu wanashinda makanisani, au kanisa ni fashion tu. I'm sure hata padre, askofu mchungaji akiipata fursa ya kuiba lazima aitumie kama ilivyokuwa kipindi Cha ascrow akina kilaini na euzebius.

Kwa Nini zanzibar hamna wizi kabisa au tuamini ukristo siyo dini ya mungu? Zanzibar ukidondosha hata wallet Ina pesa mtu anaokota anakurudishia au anatangaza radioni.

Nenda kule Arusha na moshi ambao ndo waasisi wa ukristo au ukristo ndo mwingi unaweza kuchinjwa mchana kweupe hasa wakikuona una hela mfukoni
Kwa hiyo hitimisho lako ni kwamba Watanzania wote wawe waislamu?🤔
 
Huyo huyo anayekuokotea hela yako akiishaikabidhi anaelekea kubandiliwa kinyume na maumbile. Kazi kweli
Ndio haya hapa masenge kila saa kuushambulia ukristo. Ni kweli anaokota pesa anakabidhi then anaenda kufirwa. Mapumbavu kabisa nahisi mleta uzi ni mmoja wao. Alafu cha kushangaza, hizi ndio mada za Moderator wa JF. Ndio wanapenda hizi mada za kutukanwa kwa makanisa na wakristo. Hata ureport wataacha tu hizi nyuzi wakati zinawakwaza wengine. Maxence Melo hii JF ni kwa ajili ya kushambulia na kukshafu Ukristo au?
 
Attachments

  • Screenshot_20230924_172928_Facebook.jpg
    Screenshot_20230924_172928_Facebook.jpg
    67.9 KB · Views: 1
Kwahiyo Zanzibar hakuna wizi? Acheni uongo na kila mara kuchafua dini za watu. Sasa vipi kuhusu ulawiti, uchawi, ushoga nao haupo? Kuuchafua na kuusema ukristo kila mara sio kuuimarisha uislam.

Hii screen short ni ya wazanzibar wanaouchukia wizi huku wakiruhusu na kuhitaji kufirwa. Sasa si bora uibe kuliko kupigwa pipe?
Anarudisha wallet kuogopa kulogwa na kurushiwa popobawa ahangaike naye.
 
Mi nilikili wingi wa makanisa uendane na kubadilisha tabia za waamini wao. Hebu fikiri hapa dar wizi, udokozi, ujambazi unaongeza daily na watu wanashinda makanisani, au kanisa ni fashion tu. I'm sure hata padre, askofu mchungaji akiipata fursa ya kuiba lazima aitumie kama ilivyokuwa kipindi Cha ascrow akina kilaini na euzebius.

Kwa Nini zanzibar hamna wizi kabisa au tuamini ukristo siyo dini ya mungu? Zanzibar ukidondosha hata wallet Ina pesa mtu anaokota anakurudishia au anatangaza radioni.

Nenda kule Arusha na moshi ambao ndo waasisi wa ukristo au ukristo ndo mwingi unaweza kuchinjwa mchana kweupe hasa wakikuona una hela mfukoni
Kwa taarifa yako mtoa mada, Haya makanisa yanayoongezeka ni sehemu ya uovu huo unaoongezeka.
 
Back
Top Bottom