Ujamaa ni mhimu
JF-Expert Member
- Sep 30, 2022
- 1,203
- 1,011
Lazima makanisa yafunguliwe mengi mpaka siku utakapoona umuhimu uokoke na kumwani yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yakooMi nilikili wingi wa makanisa uendane na kubadilisha tabia za waamini wao. Hebu fikiri hapa dar wizi, udokozi, ujambazi unaongeza daily na watu wanashinda makanisani, au kanisa ni fashion tu. I'm sure hata padre, askofu mchungaji akiipata fursa ya kuiba lazima aitumie kama ilivyokuwa kipindi Cha ascrow akina kilaini na euzebius.
Kwa Nini zanzibar hamna wizi kabisa au tuamini ukristo siyo dini ya mungu? Zanzibar ukidondosha hata wallet Ina pesa mtu anaokota anakurudishia au anatangaza radioni.
Nenda kule Arusha na moshi ambao ndo waasisi wa ukristo au ukristo ndo mwingi unaweza kuchinjwa mchana kweupe hasa wakikuona una hela mfukoni