Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni first born. Nimejifunza kupitia familia yetu kwamba mara nyingi good behaviour ya first born inatengeneza njia kwa wanaomfuata
Naona unatembea na 'kijembe'😅Sio kweli Mkuu pia hamna chawa
Yaah kuna vitu ni personal sana ni ngumu mno kujua undani wa mtu hasa akiamua kwa dhati iwe hivyo.kuna mambo huwezi wasemea wenzako kama uzinifu
tuishie kusema wamesoma na wana mafanikio
ila uzinzi n suala lingine kabisa, mimi hakaa mbali na nyumbani na wazazi wana amini sina tabia ya uzinzi ila mm najijua
Wengi watakuambia, ooh malezi, mabovu, laana,nk, lakini sababu ni nyingi sana, mnaweza kuzaliwa familia maskini, mpo kumi, na wato mkatoboa maishani vibaya,Katika haya MAISHA kuna mystery (siri nyingi)
Katika Familia ya mzee wangu (Baba) watoto wote wamefanikiwa wapo jumla nane Ila hakuna hata mmoja ambaye ameishia darasa la Saba
Wote Elimu zao ni kuanzia Form six na kuendelea
Hakuna mlevi
Hakuna mzinzi
Hakuna Malaya
Hii wakuu imekaaje ni baraka za Mungu , Bahati au nini.
Maana familia nyingine unakuta Watu wanapitia msoto mpaka unaogopa aliyesoma sana utakuta ni Mwalimu. Au askari police.
Kabisa.Kila mtu hapo ana kitu kinachomliza licha ya hayo mafanikio ya Nje.
Familia yoyote inaweza kosa mlevi, lakini MZINZI HAKOSEKANI! Amin nakuapia!Katika haya MAISHA kuna mystery (siri nyingi)
Katika Familia ya mzee wangu (Baba) watoto wote wamefanikiwa wapo jumla nane Ila hakuna hata mmoja ambaye ameishia darasa la Saba
Wote Elimu zao ni kuanzia Form six na kuendelea
Hakuna mlevi
Hakuna mzinzi
Hakuna Malaya
Hii wakuu imekaaje ni baraka za Mungu , Bahati au nini.
Maana familia nyingine unakuta Watu wanapitia msoto mpaka unaogopa aliyesoma sana utakuta ni Mwalimu. Au askari police.
Wazazi na malezi, wazazi wamesimamia vizuri na mapexi wakawa makini. Result ndio hizoKatika haya MAISHA kuna mystery (siri nyingi)
Katika Familia ya mzee wangu (Baba) watoto wote wamefanikiwa wapo jumla nane Ila hakuna hata mmoja ambaye ameishia darasa la Saba
Wote Elimu zao ni kuanzia Form six na kuendelea
Hakuna mlevi
Hakuna mzinzi
Hakuna Malaya
Hii wakuu imekaaje ni baraka za Mungu , Bahati au nini.
Maana familia nyingine unakuta Watu wanapitia msoto mpaka unaogopa aliyesoma sana utakuta ni Mwalimu. Au askari police.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wachunguze dada zako wana EX wangapi wangapi
Nimetoka familia kama hiyo, ni malezi, wazazi kuonyesha mfano bora (watoto wanakua kwa kuangalia mifano hai inayowazunguka kuliko maneno) na cha mwisho ni walezi kujitoa kujenga future nzuri ya watoto wao hasa kwenye elimu.
Ni ngumu aise, lazima tu wakusumbua awepo
Mzinzi hajifichiUnakua umejuaje hao waliofanikiwa sio wazinzi?
Kwahiyo wewe una good behavior?Mimi ni first born. Nimejifunza kupitia familia yetu kwamba mara nyingi good behaviour ya first born inatengeneza njia kwa wanaomfuata
Huyo ni SSIT mkuuIngekuwa kweli usingekuwa unashinda mitandaoni kuzungumzia. Ngono masaa 24
Sio kwa sasa ambalo lawyers wamejaa mitaani ni jobless. Utafunguliwa kesi ya udhalilishaji. You'll pay millions of moneyYeah unakuwa above the law