Hivi huwa inakuaje unakuta familia nzima watoto wote wamefanikiwa hakuna mlevi, hakuna mzinzi wala malaya?

Hivi huwa inakuaje unakuta familia nzima watoto wote wamefanikiwa hakuna mlevi, hakuna mzinzi wala malaya?

ungetumia neno "anasa"
Katika lugha ya kifalsafa uzinzi na zinaa ni mambo mawili tofauti

Uzinzi ni kufanya mambo ambayo hayana tija huitwa uzinzi mfano kuvuta masigara , kunywa mapombe n.k

Ila zinaa ni kushiriki ngono isiyotambulika na kiumbe chenye mwili wa nyama.
 
Kunywa pombe siyo kosa kama una akili kubwa. Ila kwa mataahira na wenye matatizo ya akili, dini zinawazuia kunywa pombe wasiharibikwe.
 
JF ni sehemu ya kujifunza Mkuu naona jambo hili likekuumiza Sana roho
Hapana. Nimefurahi kujua unavyofikiri mwanangu. Kwa umri wangu niumizwe na nini? Huwa sipendi uiimbukeni tu. Nadhani hilo ndilo tatizo langu mwnangu. Isitoshe, mafanikio ni relative as a concept. Unachoona ni mafanikio kinaweza kisiwe kwa wengine mwanangu.
 
Katika haya MAISHA kuna mystery (siri nyingi)

Katika Familia ya mzee wangu (Baba) watoto wote wamefanikiwa wapo jumla nane Ila hakuna hata mmoja ambaye ameishia darasa la Saba

Wote Elimu zao ni kuanzia Form six na kuendelea

Hakuna mlevi
Hakuna mzinzi
Hakuna Malaya

Hii wakuu imekaaje ni baraka za Mungu , Bahati au nini.

Maana familia nyingine unakuta Watu wanapitia msoto mpaka unaogopa aliyesoma sana utakuta ni Mwalimu. Au askari police.

Watoto

1 . Mtaalamu wa mambo ya Ndege Kafanya Kazi Saudi Arabia

2. Manager Kafanya Kazi na wafaransa Kama manager wa mafuta.

3. Muhasibu alikuwa Bandar in

4. Bwana Shamba

5. Afisa wa jeshi na baadae mmiliki wa kampuni kubwa Kenya

6. Rubani na sasa yupo UN

7. mmiliki wa hotel five Star (RIP)

8 . huyu alifariki baada tu ya kumaliza form six (RIP)
Wewe ndio yupi hapo? Huyo aliyeishia Form Six, sivyo?
 
Hapana. Nimefurahi kujua unavyofikiri mwanangu. Kwa umri wangu niumizwe na nini? Huwa sipendi uiimbukeni tu. Nadhani hilo ndilo tatizo langu mwnangu. Isitoshe, mafanikio ni relative as a concept. Unachoona ni mafanikio kinaweza kisiwe kwa wengine mwanangu.
POA
 
Barikiwa Sana wewe ni mtu ulijawa na hekima Baba wa wote , nakuombea Afya tele katika huo mwili wako wa damu nyama na mifupa

Kuna familia utakuta babu alifanya matambiko na makafara mpaka yameathiri vizazi vya vitukuu, hali kama hii hauwezi ukajitoa ila kwa wokovu wa kweli na maombi.
 
Kuna familia utakuta babu alifanya matambiko na makafara mpaka yameathiri vizazi vya vitukuu, hali kama hii hauwezi ukajitoa ila kwa wokovu wa kweli na maombi.
Fanyeni Kazi na mjitume na muwe na malengo ,mtafanikiwa

Swala la matambiko linaweza kuwepo Ila malengo ni muhimu Sana .

Pia mjifunze tamaduni za Asili za kuwalinda watoto ili wasiwe Mapooza
 
Mafanikio ni vile unavyohisi wewe, mwingine akiwa na kipato Cha ualimu ni inatosha kabisa. Mwingine hata awe na milioni 5 Kwa mwezi haridhiki. Bado anakua mwizi, mpenda rushwa, muuza madawa ya kulevya n.k. Yani maisha haya hakuna analiyekamilisha kipato, kikubwa ni kutosheka tuu na ulichonacho.
Uwe mwalimu uhisi umefanikiwa????
 
Mleta mada kama una HOJA,.mfano mimi majirani zetu kipindi hicho Kijitonyama, Familia ya Marehemu Dr Balandya( RIP), vijana wake ni mfano wa kuigwa kwa jamii
Nadhani ni
1. Malezi bora,
2. Uchumi hata wa kati ilikufanikisha upatikanaji wa huduma za msingi
3. Ucha Mungu
 
Barikiwa Sana wewe ni mtu ulijawa na hekima Baba wa wote , nakuombea Afya tele katika huo mwili wako wa damu nyama na mifupa
asante sana mwanangu japo ulifaniiwa kupima kama naweza kuchukia au kupayuka. Nawe ubarikiwe uwe na hekima kama mimi baba yako. Ngoja basi nilale japo kidogo.
 
Hizi ndio IQ kubwa hizi.

JF ni zaidi.
Kule X husikii habari kama hizi. Kila mtu mzinzi.
 
Nimetoka familia kama hiyo, ni malezi, wazazi kuonyesha mfano bora (watoto wanakua kwa kuangalia mifano hai inayowazunguka kuliko maneno) na cha mwisho ni walezi kujitoa kujenga future nzuri ya watoto wao hasa kwenye elimu.
Bado mpo watoto wote na imani na mwenendo wa wazazi wenu upoje?
 
Back
Top Bottom