Hivi huwa inakuaje unakuta familia nzima watoto wote wamefanikiwa hakuna mlevi, hakuna mzinzi wala malaya?

Hivi huwa inakuaje unakuta familia nzima watoto wote wamefanikiwa hakuna mlevi, hakuna mzinzi wala malaya?

Hongera mkuu,nisaidie mimi ungaunga nipate kazi tu ya uhakika.Mtazidi kubarikiwa sana
 
kuna mambo huwezi wasemea wenzako kama uzinifu

tuishie kusema wamesoma na wana mafanikio

ila uzinzi n suala lingine kabisa, mimi hakaa mbali na nyumbani na wazazi wana amini sina tabia ya uzinzi ila mm najijua
Yaah kuna vitu ni personal sana ni ngumu mno kujua undani wa mtu hasa akiamua kwa dhati iwe hivyo.
 
Katika haya MAISHA kuna mystery (siri nyingi)

Katika Familia ya mzee wangu (Baba) watoto wote wamefanikiwa wapo jumla nane Ila hakuna hata mmoja ambaye ameishia darasa la Saba

Wote Elimu zao ni kuanzia Form six na kuendelea

Hakuna mlevi
Hakuna mzinzi
Hakuna Malaya

Hii wakuu imekaaje ni baraka za Mungu , Bahati au nini.

Maana familia nyingine unakuta Watu wanapitia msoto mpaka unaogopa aliyesoma sana utakuta ni Mwalimu. Au askari police.
Wengi watakuambia, ooh malezi, mabovu, laana,nk, lakini sababu ni nyingi sana, mnaweza kuzaliwa familia maskini, mpo kumi, na wato mkatoboa maishani vibaya,
Kuna wengine, mmezaliwa familia Bora, shule Nairobi, na mkaishia kuwa wavuta bangi, na madawa, mnaweza kutoka familia maskini, na mkawa wote, konda,muuza kahawa, mitumba, mama, ntilie, na, unaweza kutoka familia Bora, mkawa, dokta, engineer, rubani,mfanyabiashara
 
Katika haya MAISHA kuna mystery (siri nyingi)

Katika Familia ya mzee wangu (Baba) watoto wote wamefanikiwa wapo jumla nane Ila hakuna hata mmoja ambaye ameishia darasa la Saba

Wote Elimu zao ni kuanzia Form six na kuendelea

Hakuna mlevi
Hakuna mzinzi
Hakuna Malaya

Hii wakuu imekaaje ni baraka za Mungu , Bahati au nini.

Maana familia nyingine unakuta Watu wanapitia msoto mpaka unaogopa aliyesoma sana utakuta ni Mwalimu. Au askari police.
Familia yoyote inaweza kosa mlevi, lakini MZINZI HAKOSEKANI! Amin nakuapia!
 
Katika haya MAISHA kuna mystery (siri nyingi)

Katika Familia ya mzee wangu (Baba) watoto wote wamefanikiwa wapo jumla nane Ila hakuna hata mmoja ambaye ameishia darasa la Saba

Wote Elimu zao ni kuanzia Form six na kuendelea

Hakuna mlevi
Hakuna mzinzi
Hakuna Malaya

Hii wakuu imekaaje ni baraka za Mungu , Bahati au nini.

Maana familia nyingine unakuta Watu wanapitia msoto mpaka unaogopa aliyesoma sana utakuta ni Mwalimu. Au askari police.
Wazazi na malezi, wazazi wamesimamia vizuri na mapexi wakawa makini. Result ndio hizo

Hakuna results za bahati mbaya
 
Very subjective ila kizaz chao kinachofata huw ni shida
 
Watoto ni photocopy ya wazazi so ujifunza kwa wazazi wao.
Panapo utii Pana amani na lazima tu baraka zimiminike.
Baba na mama wakiwa mwili mmoja yote hayo yanawezekana
 
Inawezekana sana kama utaacha shobo na maisha kwa kupapalikia mambo usiyoyaweza.
Mfano humu mnaambiwa kila siku usioe kabla hujafanikiwa kuweka malengo sawa ya maisha kwa kuwaandalia mke na watoto wasiteseke, sasa ninyi mnakimbilia kudanganyana kuwa mtoto ni baraka wengine wanasema ukioa sijui unapata bahati na upuuzi wa aina hii.

Kwa akili hiyo kwanini utegemezi na ufukara usiishe?, kijana choka mbaya unakimbilia kuoa na kuanzisha familia ambayo hauna uhakika wa kuitunza zaidi ya kutegemea bahati ya kupata/kukosa.

Pia kuna hii mentality ya hawa wazazi/wazee wapuuzi ambao wanakwepa majukumu ya kuwawezesha watoto wao urithi wa halali ambao ni mali, na ijulikane kuwa urithi kwa mtoto ni mali wala si elimu, elimu sio urithi ndiomaana huwezi kumrithisha mwanao hizo zero zako wala degree zako atumie kutafuta pesa.

Sio hilo tu kuna suala la udhulumaji, watanzania wengi wamekulia maisha ya ujanja ujanja, kuwafanyia wenzao fitna za kuwaharibia maisha/udokozi, mambo kama haya yanatabia ya kurudisha nyuma juhudi za mafanikio, huwezi kufanikiwa kihalali kama bado maisha yako jamejawa na majuto kutoka kwa watu uliowatenda vibaya na hukuomba mthamaha huwezi kutoboa labda ufanikiwe kwa kuendeleza huo wizi dhidi ya wanyonge.

Simple, ukiwa vizuri kiakili na kiuchumi hata familia yako itaishi vizuri, watoto watapata elimu bora, na hata baada ya elimu yao utakuwa na uwezo wa kuwawezesha kiuchumi, sasa kwa aina hii ya mafanikio hata malezi kwa watoto lazima yawe mepesi.

Acheni kupapalikia maisha mtaharibu future ya familia na uzao wenu kuwa tegemezi na muendelezo wa umasikini usio na kipimo.
 
Back
Top Bottom