Hivi huwa inakuaje unakuta familia nzima watoto wote wamefanikiwa hakuna mlevi, hakuna mzinzi wala malaya?

Ni jambo la kumshukuru Mungu, na kuendelea kuwalea watoto wetu katika njia iwapasayo na kuwaombea.
 
Kusoma ndio kufanikiwa? Acha ushamba dogo

Sema wameelimika
 
Watu wanaitazama Kongo,vita Bukavu,Goma,Uvira,wanaamua tusiwe kama vile,nchi yetu tujitahidi tusiwe kama vile.
Na kwa familia ni hivyo hivyo. Familia wakiwa walevi na wavuta bangi,marekebisho yanatokea, lakini marekebisho hayo yanatokea siyo katika familia hiyo, ila yanatokea katika familia ya jirani.
By the way,naandika hii ikiwa kama ndio nilivyomuelewa Hegel,mwanafalsafa wa Ujerumani wa miaka mia mbili iliyopita.
Kwamba taifa likizubaa,mataifa ya jirani yanachukua hiyo fursa kuinuka.
 
Accha ukuda we bwege
 
Wengine huanza hizo tabia at 40s au 50s
 
kama hawana mdogo miyeyusho hapendi shule hapendi kazi yeye anapenda kina Papy sjui lil uzi vert hao wazazi bado hawajamaliza kuzaa

yan hata uwe na watoto mawaziri lazima upewe mmoja wa kukufanya uwe busy kujua anataka nini
 
Kuna mzee mmoja kijijini kwetu alifanikiwa kusomesha wanae wa kiume bahati nzuri mmojawapo akawahi kupata deal mamtoni akaomboa wazazi wake kuwajengea makazi bora na kuwaboreshea maisha kwa ujumla mara paap dada ake kapata mchumba mcanada kaolewa .mara dada mwingine kaolewa ulaya ndugu wengine wakapata nyadhifa kubwa kubwa serikalini..nkaws najiuliza how comes familia nzima wamefanukiwa?wale wazee walikuwa na malezi thabit kwa watoto wao..

Lakini mara nyingine nimeshuhudia familia zingine wamefanikiwa baada ya kuoa au kulewa wanaharibikiwa na hawaendelezi walichofunzwa..utakuta ni walevi wakutupwaaa ,wanazalisha/kuzalishwa hovyo ile miiko huwa hawaiendelezi labda wachache baadhi ..ni neema ya mwenyezi Mungu
 
Go
God is good
 
Hiyo familia haitoki kwenye ukoo wa kichawi
 
Huwezi kuchunguza maisha ya watu na ukafanikiwa. Uliamini kuwa wale vijana wamotishaji wangekamatwa kwa kuuza bwimbwi Dubai? Kuna mafanikio mengine ni danganya toto. Hata hivyo, mafanikio ya watu yasikuhangaishe mwanangu. Hangaikia yako
 
Huwezi kuchunguza maisha ya watu na ukafanikiwa. Uliamini kuwa wale vijana wamotishaji wangekamatwa kwa kuuza bwimbwi Dubai? Kuna mafanikio mengine ni danganya toto. Hata hivyo, mafanikio ya watu yasikuhangaishe mwanangu. Hangaikia yako
Sawa Ila this is my family
 
Sawa Ila this is my family
Kwa hiyo unajidai siyo au nshomile? Kama mmefanikiwa shukuru Mungu badala ya kugeuza matangazo mitandaoni. Ukirogwa au kufanyiwa kitu mbaya utamlaumu nani? Kama kweli ni familia yako, unauliza nini wakati unajua siri ya 'mafanikio' yenu? Nijuavyo tokana na uzee na uzoefu wangu, waliofanikiwa huwa hawajidai wala kutangaza wala kushangaa au kuuliza sababu.
 
Sasa nispowaambia mtajuaje hili ni somo ambalo nimelitoa Ila kubwa kuliko yote nahitaji niwape mbinu ya kuzaa uzao wenye baraka.
 
Sasa nispowaambia mtajuaje hili ni somo ambalo nimelitoa Ila kubwa kuliko yote nahitaji niwape mbinu ya kuzaa uzao wenye baraka.
Kwani tumekuomba? Unajuaje kuwa hatujafanikiwa na tunahitaji msaada bila kuuomba? Unaweza ukaona hicho ukiitacho mafanikio, kwa magwiji kama sisi si chochote wala lolote. Kama mawazo yako yangekuja kama mchango kwa mtu mwenye kuomba msaada ingeingia akilini mwanangu.
 
Pia nimesahau kukuambia hili jambo ukiachana na hayo mafanikio bado hawa ndugu wanapendana Sana na wana umoja ulio imarika Sana.
 
Pia nimesahau kukuambia hili jambo ukiachana na hayo mafanikio bado hawa ndugu wanapendana Sana na wana umoja ulio imarika Sana.
Waendelee hivyo ila wasiwe kama wewe mwenye kutangaza mambo binafsi.Hii inaonyesha hujafanikiwa kama wenzako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…