Samson Ernest
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 557
- 858
Ni jambo la kumshukuru Mungu, na kuendelea kuwalea watoto wetu katika njia iwapasayo na kuwaombea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusoma ndio kufanikiwa? Acha ushamba dogoKatika haya MAISHA kuna mystery (siri nyingi)
Katika Familia ya mzee wangu (Baba) watoto wote wamefanikiwa wapo jumla nane Ila hakuna hata mmoja ambaye ameishia darasa la Saba
Wote Elimu zao ni kuanzia Form six na kuendelea
Hakuna mlevi
Hakuna mzinzi
Hakuna Malaya
Hii wakuu imekaaje ni baraka za Mungu , Bahati au nini.
Maana familia nyingine unakuta Watu wanapitia msoto mpaka unaogopa aliyesoma sana utakuta ni Mwalimu. Au askari police.
Accha ukuda we bwegeKatika haya MAISHA kuna mystery (siri nyingi)
Katika Familia ya mzee wangu (Baba) watoto wote wamefanikiwa wapo jumla nane Ila hakuna hata mmoja ambaye ameishia darasa la Saba
Wote Elimu zao ni kuanzia Form six na kuendelea
Hakuna mlevi
Hakuna mzinzi
Hakuna Malaya
Hii wakuu imekaaje ni baraka za Mungu , Bahati au nini.
Maana familia nyingine unakuta Watu wanapitia msoto mpaka unaogopa aliyesoma sana utakuta ni Mwalimu. Au askari police.
Wengine huanza hizo tabia at 40s au 50sKatika haya MAISHA kuna mystery (siri nyingi)
Katika Familia ya mzee wangu (Baba) watoto wote wamefanikiwa wapo jumla nane Ila hakuna hata mmoja ambaye ameishia darasa la Saba
Wote Elimu zao ni kuanzia Form six na kuendelea
Hakuna mlevi
Hakuna mzinzi
Hakuna Malaya
Hii wakuu imekaaje ni baraka za Mungu , Bahati au nini.
Maana familia nyingine unakuta Watu wanapitia msoto mpaka unaogopa aliyesoma sana utakuta ni Mwalimu. Au askari police.
God is goodKuna mzee mmoja kijijini kwetu alifanikiwa kusomesha wanae wa kiume bahati nzuri mmojawapo akawahi kupata deal mamtoni akaomboa wazazi wake kuwajengea makazi bora na kuwaboreshea maisha kwa ujumla mara paap dada ake kapata mchumba mcanada kaolewa .mara dada mwingine kaolewa ulaya ndugu wengine wakapata nyadhifa kubwa kubwa serikalini..nkaws najiuliza how comes familia nzima wamefanukiwa?wale wazee walikuwa na malezi thabit kwa watoto wao..
Lakini mara nyingine nimeshuhudia familia zingine wamefanikiwa baada ya kuoa au kulewa wanaharibikiwa na hawaendelezi walichofunzwa..utakuta ni walevi wakutupwaaa ,wanazalisha/kuzalishwa hovyo ile miiko huwa hawaiendelezi labda wachache baadhi ..ni neema ya mwenyezi Mungu
Ni sehemu ya mafanikio.Kusoma ndio kufanikiwa? Acha ushamba dogo
Sema wameelimika
Hiyo familia haitoki kwenye ukoo wa kichawiKatika haya MAISHA kuna mystery (siri nyingi)
Katika Familia ya mzee wangu (Baba) watoto wote wamefanikiwa wapo jumla nane Ila hakuna hata mmoja ambaye ameishia darasa la Saba
Wote Elimu zao ni kuanzia Form six na kuendelea
Hakuna mlevi
Hakuna mzinzi
Hakuna Malaya
Hii wakuu imekaaje ni baraka za Mungu , Bahati au nini.
Maana familia nyingine unakuta Watu wanapitia msoto mpaka unaogopa aliyesoma sana utakuta ni Mwalimu. Au askari police.
HakikaHiyo familia haitoki kwenye ukoo wa kichawi
Huwezi kuchunguza maisha ya watu na ukafanikiwa. Uliamini kuwa wale vijana wamotishaji wangekamatwa kwa kuuza bwimbwi Dubai? Kuna mafanikio mengine ni danganya toto. Hata hivyo, mafanikio ya watu yasikuhangaishe mwanangu. Hangaikia yakoKatika haya MAISHA kuna mystery (siri nyingi)
Katika Familia ya mzee wangu (Baba) watoto wote wamefanikiwa wapo jumla nane Ila hakuna hata mmoja ambaye ameishia darasa la Saba
Wote Elimu zao ni kuanzia Form six na kuendelea
Hakuna mlevi
Hakuna mzinzi
Hakuna Malaya
Hii wakuu imekaaje ni baraka za Mungu , Bahati au nini.
Maana familia nyingine unakuta Watu wanapitia msoto mpaka unaogopa aliyesoma sana utakuta ni Mwalimu. Au askari police.
Sawa Ila this is my familyHuwezi kuchunguza maisha ya watu na ukafanikiwa. Uliamini kuwa wale vijana wamotishaji wangekamatwa kwa kuuza bwimbwi Dubai? Kuna mafanikio mengine ni danganya toto. Hata hivyo, mafanikio ya watu yasikuhangaishe mwanangu. Hangaikia yako
Kwa hiyo unajidai siyo au nshomile? Kama mmefanikiwa shukuru Mungu badala ya kugeuza matangazo mitandaoni. Ukirogwa au kufanyiwa kitu mbaya utamlaumu nani? Kama kweli ni familia yako, unauliza nini wakati unajua siri ya 'mafanikio' yenu? Nijuavyo tokana na uzee na uzoefu wangu, waliofanikiwa huwa hawajidai wala kutangaza wala kushangaa au kuuliza sababu.Sawa Ila this is my family
Sasa nispowaambia mtajuaje hili ni somo ambalo nimelitoa Ila kubwa kuliko yote nahitaji niwape mbinu ya kuzaa uzao wenye baraka.Kwa hiyo unajidai siyo au nshomile? Kama mmefanikiwa shukuru Mungu badala ya kugeuza matangazo mitandaoni. Ukirogwa au kufanyiwa kitu mbaya utamlaumu nani? Kama kweli ni familia yako, unauliza nini wakati unajua siri ya 'mafanikio' yenu? Nijuavyo tokana na uzee na uzoefu wangu, waliofanikiwa huwa hawajidai wala kutangaza wala kushangaa au kuuliza sababu.
Kwani tumekuomba? Unajuaje kuwa hatujafanikiwa na tunahitaji msaada bila kuuomba? Unaweza ukaona hicho ukiitacho mafanikio, kwa magwiji kama sisi si chochote wala lolote. Kama mawazo yako yangekuja kama mchango kwa mtu mwenye kuomba msaada ingeingia akilini mwanangu.Sasa nispowaambia mtajuaje hili ni somo ambalo nimelitoa Ila kubwa kuliko yote nahitaji niwape mbinu ya kuzaa uzao wenye baraka.
ungetumia neno "anasa"Uzinzi maana yake sio kufanya ngono tu Ila hata kufanya mambo ambayo hayana maana huo nao ni UZINZI mkuu.
Mfano kuvuta masigara , umbea, chuki n.k vyote hivyo vinatafsiriwa Kama uzinzi.
Pia nimesahau kukuambia hili jambo ukiachana na hayo mafanikio bado hawa ndugu wanapendana Sana na wana umoja ulio imarika Sana.Kwa hiyo unajidai siyo au nshomile? Kama mmefanikiwa shukuru Mungu badala ya kugeuza matangazo mitandaoni. Ukirogwa au kufanyiwa kitu mbaya utamlaumu nani? Kama kweli ni familia yako, unauliza nini wakati unajua siri ya 'mafanikio' yenu? Nijuavyo tokana na uzee na uzoefu wangu, waliofanikiwa huwa hawajidai wala kutangaza wala kushangaa au kuuliza sababu.
Waendelee hivyo ila wasiwe kama wewe mwenye kutangaza mambo binafsi.Hii inaonyesha hujafanikiwa kama wenzako.Pia nimesahau kukuambia hili jambo ukiachana na hayo mafanikio bado hawa ndugu wanapendana Sana na wana umoja ulio imarika Sana.