Mungu niguse
JF-Expert Member
- Dec 19, 2024
- 272
- 729
- Thread starter
-
- #81
Katika lugha ya kifalsafa uzinzi na zinaa ni mambo mawili tofautiungetumia neno "anasa"
JF ni sehemu ya kujifunza Mkuu naona jambo hili likekuumiza Sana rohoWaendelee hivyo ila wasiwe kama wewe mwenye kutangaza mambo binafsi.Hii inaonyesha hujafanikiwa kama wenzako.
Kunywa pombe siyo kosa kama una akili kubwa. Ila kwa mataahira na wenye matatizo ya akili, dini zinawazuia kunywa pombe wasiharibikwe.Katika lugha ya kifalsafa uzinzi na zinaa ni mambo mawili tofauti
Uzinzi ni kufanya mambo ambayo hayana tija huitwa uzinzi mfano kuvuta masigara , kunywa mapombe n.k
Ila zinaa ni kushiriki ngono isiyotambulika na kiumbe chenye mwili wa nyama.
Hapana. Nimefurahi kujua unavyofikiri mwanangu. Kwa umri wangu niumizwe na nini? Huwa sipendi uiimbukeni tu. Nadhani hilo ndilo tatizo langu mwnangu. Isitoshe, mafanikio ni relative as a concept. Unachoona ni mafanikio kinaweza kisiwe kwa wengine mwanangu.JF ni sehemu ya kujifunza Mkuu naona jambo hili likekuumiza Sana roho
Wewe ndio yupi hapo? Huyo aliyeishia Form Six, sivyo?Katika haya MAISHA kuna mystery (siri nyingi)
Katika Familia ya mzee wangu (Baba) watoto wote wamefanikiwa wapo jumla nane Ila hakuna hata mmoja ambaye ameishia darasa la Saba
Wote Elimu zao ni kuanzia Form six na kuendelea
Hakuna mlevi
Hakuna mzinzi
Hakuna Malaya
Hii wakuu imekaaje ni baraka za Mungu , Bahati au nini.
Maana familia nyingine unakuta Watu wanapitia msoto mpaka unaogopa aliyesoma sana utakuta ni Mwalimu. Au askari police.
Watoto
1 . Mtaalamu wa mambo ya Ndege Kafanya Kazi Saudi Arabia
2. Manager Kafanya Kazi na wafaransa Kama manager wa mafuta.
3. Muhasibu alikuwa Bandar in
4. Bwana Shamba
5. Afisa wa jeshi na baadae mmiliki wa kampuni kubwa Kenya
6. Rubani na sasa yupo UN
7. mmiliki wa hotel five Star (RIP)
8 . huyu alifariki baada tu ya kumaliza form six (RIP)
Kila kitu kwa kiasiKunywa pombe siyo kosa kama una akili kubwa. Ila kwa mataahira na wenye matatizo ya akili, dini zinawazuia kunywa pombe wasiharibikwe.
POAHapana. Nimefurahi kujua unavyofikiri mwanangu. Kwa umri wangu niumizwe na nini? Huwa sipendi uiimbukeni tu. Nadhani hilo ndilo tatizo langu mwnangu. Isitoshe, mafanikio ni relative as a concept. Unachoona ni mafanikio kinaweza kisiwe kwa wengine mwanangu.
Unashindwa kusoma na kuelewa concept ebu rudia kusoma tenaWewe ndio yupi hapo? Huyo aliyeishia Form Six, sivyo?
Hapana. Nimefurahi kujua unavyofikiri mwanangu. Kwa umri wangu niumizwe na nini? Huwa sipendi uiimbukeni tu. Nadhani hilo ndilo tatizo langu mwnangu. Isitoshe, mafanikio ni relative as a concept. Unachoona ni mafanikio kinaweza kisiwe kwa wengine mwanangu.
Fanyeni Kazi na mjitume na muwe na malengo ,mtafanikiwaKuna familia utakuta babu alifanya matambiko na makafara mpaka yameathiri vizazi vya vitukuu, hali kama hii hauwezi ukajitoa ila kwa wokovu wa kweli na maombi.
Uwe mwalimu uhisi umefanikiwa????Mafanikio ni vile unavyohisi wewe, mwingine akiwa na kipato Cha ualimu ni inatosha kabisa. Mwingine hata awe na milioni 5 Kwa mwezi haridhiki. Bado anakua mwizi, mpenda rushwa, muuza madawa ya kulevya n.k. Yani maisha haya hakuna analiyekamilisha kipato, kikubwa ni kutosheka tuu na ulichonacho.
asante sana mwanangu japo ulifaniiwa kupima kama naweza kuchukia au kupayuka. Nawe ubarikiwe uwe na hekima kama mimi baba yako. Ngoja basi nilale japo kidogo.Barikiwa Sana wewe ni mtu ulijawa na hekima Baba wa wote , nakuombea Afya tele katika huo mwili wako wa damu nyama na mifupa
Bado mpo watoto wote na imani na mwenendo wa wazazi wenu upoje?Nimetoka familia kama hiyo, ni malezi, wazazi kuonyesha mfano bora (watoto wanakua kwa kuangalia mifano hai inayowazunguka kuliko maneno) na cha mwisho ni walezi kujitoa kujenga future nzuri ya watoto wao hasa kwenye elimu.