Hivi huwa mnamaanisha nini kwa tabia hii enyi wanaume na wavulana?

Hivi huwa mnamaanisha nini kwa tabia hii enyi wanaume na wavulana?

Unapewa pesa unaona aibu

Mi siogopi hata akiitisha press
But seriously atleast he is trying
Mwingine hata ya kukupa ya sabuni ukafulie kile kifuniko hakupi

Kwenye matunda au kitu chochote mtu akikibeba hata ashikilie mkononi
Kwanini ukereke

Learn to ignore
Seriously utapata pressure na masononeko sana
Dada una kitu utafika mbali
 
Unaweza kujibu maswali ya Hannah ??
Si nimemjibu. Mm ndo Bado sijapata majibu kwa wahusika au sijaeleweka shida sio umetoa sh. Ngapi , shida kwanini uitoe hadharani au kwanini Huwa mnatoa Hela za nauli hadharani!? Mnafanya hvyo kwanini.

Mfano: uliuliza " hivi kwanini dada zetu mnabandika kucha ndefu sanaa" . Jibu utapewa ni urembo.

Sasa kwanini mnazitoa hizo Hela na kubebelea matunda hadharani!?.
 
Yaani utakuta mtu amekutoa out mtaongea weeee, sasa muda wa kuondoka anakusindikiza mpka stand ndo unakuta anatoa elfu Tano au elfu kumi anakupa mbele ya kadamnasi itakusaidia nauli.
Huwa tukiwapa bado tumekaa sehemu tulivu hamkawii kujilesi na kudai haitoshi au kuanza kudai na ya umeme.
Khaa!! Yaani koteeee huko hukuona fursa ya kutoa hiyo nauli mpka usubirie mbele za watu ndo uitoe, ukiitoa wakati tupo wenyewe ingekuwaj?
Sasa majirani watajuaje anahudumia familia kwa upendo mazagazaga kibao. 😍
Utakuta wengine anatembea umbali mrefu na matunda yake mkononi.

Huwa mnafanya hivyo kwanini!? Mimi nimeshindwa kuwaelewa kbsaaa. Hebu tuelewesheni.
Wakati mwingine ni mazoea tu. Halafu kuwatoa out msidhani wanaume wana pesa saana. We pokea matunda kula, kipi bora? Alete matunda ya 1,000 mkononi au alete matunda ya 500 kwenye mfuko wa 500? Wanaume wanapenda kujiongeza japo unawaona washamba.

Anyway inategemea na kiwango cha ustaarabu wako.
 
Huwa tukiwapa bado tumekaa sehemu tulivu hamkawii kujilesi na kudai haitoshi au kuanza kudai na ya umeme.

Sasa majirani watajuaje anahudumia familia kwa upendo mazagazaga kibao. 😍

Wakati mwingine ni mazoea tu. Halafu kuwatoa out msidhani wanaume wana pesa saana. We pokea matunda kula, kipi bora? Alete matunda ya 1,000 mkononi au alete matunda ya 500 kwenye mfuko wa 500? Wanaume wanapenda kujiongeza japo unawaona washamba.

Anyway inategemea na kiwango cha ustaarabu wako.
Hii ya majirani watajuaje anahudumia nimeielewa 😃 kwahy kumbe Huwa mnataka kuonekana na kusifiwa mnajua kuhudumia.
 
Back
Top Bottom