Hivi huwa mnamaanisha nini kwa tabia hii enyi wanaume na wavulana?

Hivi huwa mnamaanisha nini kwa tabia hii enyi wanaume na wavulana?

Mshamba huyo 😂 wanaume hatunaga habari. Yeye aseme kama buku 5 ndogo aongezewe ganji. Sasa mtu kubeba matunda mpaka uyafiche kwani ni bangi ile. Kama nimeyanunua karibu na nyumbani nabeba hivyo hivyo kwenye nailoni.

Ndio maana gari mnapewaga bila kadi!
Hapo mwisho umeamua kunisema mimi sio😂😂 yaani mimi ni wa kupewa push present ambayo haina kadi?😂😂😂
 
Hapo mwisho umeamua kunisema mimi sio😂😂 yaani mimi ni wa kupewa push present ambayo haina kadi?😂😂😂
Eeh kadi ya nini🤣 utapewa kwenye 50th annivesary
 
Yaani utakuta mtu amekutoa out mtaongea weeee, sasa muda wa kuondoka anakusindikiza mpka stand ndo unakuta anatoa elfu Tano au elfu kumi anakupa mbele ya kadamnasi itakusaidia nauli.

Khaa!! Yaani koteeee huko hukuona fursa ya kutoa hiyo nauli mpka usubirie mbele za watu ndo uitoe, ukiitoa wakati tupo wenyewe ingekuwaj?

Au mume anakuja nyumbani kabebelea matunda kwenye vifuko vile vyeupe, au kashikilia mkononi, kwani mifuko hakuna huko ulipotoka!? Mpka uje unavinanga barabarani?

Utakuta wengine anatembea umbali mrefu na matunda yake mkononi.

Huwa mnafanya hivyo kwanini!? Mimi nimeshindwa kuwaelewa kbsaaa. Hebu tuelewesheni.
Mim nikimaliza kushenyenta demu geto, Kwa kawaida huwa naweka pesa chini ya kiboksi cha earbuds ambacho kipo kwenye showcase. Tukimaliza tu Namwambia funua hapo, anachukua kilichopo anasepa mwenyewe, Wala hawajawahi kusema mbona unanipa hii? Mpaka leo najiuliza kile kiboksi kina uchawi gani😀
 
Yaani utakuta mtu amekutoa out mtaongea weeee, sasa muda wa kuondoka anakusindikiza mpka stand ndo unakuta anatoa elfu Tano au elfu kumi anakupa mbele ya kadamnasi itakusaidia nauli.

Khaa!! Yaani koteeee huko hukuona fursa ya kutoa hiyo nauli mpka usubirie mbele za watu ndo uitoe, ukiitoa wakati tupo wenyewe ingekuwaj?

Au mume anakuja nyumbani kabebelea matunda kwenye vifuko vile vyeupe, au kashikilia mkononi, kwani mifuko hakuna huko ulipotoka!? Mpka uje unavinanga barabarani?

Utakuta wengine anatembea umbali mrefu na matunda yake mkononi.

Huwa mnafanya hivyo kwanini!? Mimi nimeshindwa kuwaelewa kbsaaa. Hebu tuelewesheni.
Pole sana
 
Mambo mengine hayana hata madhara ni kuyapotezea tu. Angalau hata huyo anatoa hata kama ni mbele za watu kuliko wale wazee wa kujikausha. Tujifunze kupotezea mambo madogo madogo, haidhuru chochote.
 
Maana yake hilo ni deni umekopeshwa mbele za watu ili wawe mashahidi kwa siku zijazo
 
Unapenda vitu vifichwe fichwe?.. Ukiendelea hivi nawe utakuwa wa kufichwafichwa, yaani mchepuko.. Jiepushe na hili pepo.
 
Umalaya tu, asingekupa napo ungeleta Uzi wa majonzi..sasa pesa yake alafu mipango ya namna ya kukupa umpangie wewe..kuna kasoro fulani mnayo si Bure....kwanza Hilo ten ni kubwa mno, angekulipia nauli kabisa akabaki na chenji yake...

Wanawake tafuteni pesa zenu wenyewe acheni kupenda Bwerere, pesa ni ngumu mno.
 
Back
Top Bottom